Recent content by meezy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya internet kwenye rooter za Airtel

    Nimelipia cha mwezi mmoja ila baada ya week mbili tu wamekata mpaka sasa week moja ishapita tangu ikate kila nikipiga simu wananiuliza maswali nawajibu,wananiambia mtaalamu wetu atakuja atakupigia..imebaki week moja kifurushi kiishe.. Airtel ni changamoto mnoo kwa sasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    Sikuelewi unachoongelea,mm nimekwambia bei ya istore apo Sandton City Shopping Centre,kwa uzoefu wangu mdogo..ila ukinambia za uko mtaani nakuelewa
  3. M

    JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    Nimeongelea iphone 17 pro max i.store South Africa
  4. M

    JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    Boss hyoo unayosema kwa bei hiyo ni 256GB..ila 2TB inacheza hadi Rand 45,000+ apo i.store
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hon Shabiby atetea abiria

    Hii case nineshindwa kuielewa kabisaa...yaani wanaotetea saana ni wamiliki wa mabus,ma agent na madalali wao ila nashangaa abiria wenyewe ambao ndio wahusika mbona hawalalamiki saana kam hao wahusika wenyewe au Mimi ndo nashindwa kuelewa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti Kwa DSM Kwa bei poa kabisa

    Sijakuuliza soko boss..unafanya exportation au hufanyi??.kama unafanya,je unaweza kunipa quotation ya hiko nilichokuandikia??.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti Kwa DSM Kwa bei poa kabisa

    Nimekuulza unafanya exportation ya hyoo biashara yako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti Kwa DSM Kwa bei poa kabisa

    Unaweza fanya exportation ya huo mzigo as follows; PRODUCT: Refined Sunflower Oil (RBD) QUALITY: Food Grade, suitable for human consumption ORIGIN: Tanzania QUANTITY: minimum quantity/regular supply?? PACKAGING: Flexitank / drums / PET bottles, as applicable DELIVERY: FOB/CIF CONTRACT...
  9. M

    JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    Kama unaogopa bei..acha kuulzia vitu OG,utasumbua watu tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    Ina maana kuanzia tarh.20,June mpaka leo 20, August..ata ndugu zao hawakuwafuatilia ndugu zao hao waliopoteza maisha kwenye ajali wako wapi??.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kijeshi vya Uturuki vyaangamizwa huko Syria!!

    NATO hawaingii hivyo vitani..ingekuwa hivyo wangeshaingia Ukraine muda mrefu maana Russia kavichakaza saana vifaa vyao Ukraine..wanaingia ukipigwa ukiwa nyumbani kwako sio upigwe kwa kiele ele chako nchi za watu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kagonga boda, kakimbia kisha kadakwa

    Kuna V8 plate no. ya raia ilikanyaga boda akafa apo apo kibaha haikusimama boda wenzie wakaona mbele kam kuna kajam flan wakaiungia,gari ndani ina watu kam wanne wote wa mfumo na wanavyamoto..walisimama wakatoa vyuma wakabebwa watatu wakawekwa nyuma ila walienda kuwaachia morogoro,uzuri washkaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gardening and landscaping design service

    Tuma mfano wa kazi zako boss tuone
  14. M

    JamiiForums Tanzania COSTA inauzwa

    Mbona wew mwenyewe kama dalali,kwa nini usimwambie mtu aje aikague ikiwa isharudi kwako(mmiliki)??.
  15. M

    JamiiForums Tanzania "Asilimia kubwa ya vijana kutoka Tanzania na Afrika nzima ujumla wanaoletwa na wazazi kusoma Marekani na Canada wamegeuka kuwa machoko ".. Elli David

    Wivu ukichanganya na umasikini ni kitu kibaya saana...unakuwa unatafuta maneno ya kujifariji muda wote kwa kutegemea support ya masikini wenzio
Back
Top Bottom