Recent content by meemba

  1. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    ccm si chochote wala lolote,wametawala kwa mazoea na kuzoea kuropoka.Warudi vijijini wakalime sasa.
  2. M

    Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

    Jeshi letu linatumika kisiasa na wao kwa njaa zao wanakubali.
  3. M

    Sababu za CCM kushindwa kuisambaratisha CHADEMA hizi hapa!

    Wanachama wengi sana wa ccm ni waganga njaa,wanatafunwa na ubinafsi na uvivu wa kufikiri.
  4. M

    Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nassari Joshua akamatwa na Polisi na kuachiwa kwa masharti

    Upumbavu wa ccm ni vigumu kuumaliza,wezi wa rasilimali na wauza madawa hawaonekani ila cdm inaonekana.Polisi wapumbavu na wasiyo na aibu wanazidi kuiua ccm na viongozi wake.Haiwezekani kubaki madarakani kwa kutumia nguvu za dola.
  5. M

    Mkapa: Wapinzani bado ni wachanga kuwapa Ikulu!

    Huyu ni nani?Dunia ya leo ubabe hauna nafasi tena.Unazeeka vibaya na unaogopa kwenda mahakamani.
  6. M

    Nape aja na Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

    Nape kijana mdogo sana Tanzania na katika siasa,hadi anatia huruma
  7. M

    Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

    Nchi yangu Tanzania,ni kweli huna viongozi,una waganga njaa na wahuni watupu.Wahuni hawa ni aibu tubu kwani kimataifa tunaaibika kwa sababu ya mafisadi wachache wasiofikiri na kuona mbali.Ccm mmekuwa janga kwa taifa letu,hamna dira wala mwelekeo,nendeni mkalime wezi wakubwa.
  8. M

    Bungeni: Lema awataja CCM kama waasisi wa udini nchini

    JK na CCM ndiyo waasisi wa huu mchezo mchafu wa udini,huu ndiyo ukweli.Kwasababu hawana sera nyingine zaidi ya udini watuachie nchi yetu ikiwa na amani warudi nyumbani.Usalama wa taifa umegeuka kuwa usalama wa CCM,mafisadi na wauaji wa watu wanaowaambia ukweli.
  9. M

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    Hana jipya huyu bwana mdogo,udini amepandikiza yeye na sasa anatufanyia maigizo.Hakuna jipya kwa mtu dhaifu kama huyu mswahili.
  10. M

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Kikwete anatimiza malengo yake,Nchi imekushinda ONDOKA;ONDOKA;ONDOKA HUWEZI.
  11. M

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    Huyu ni mtu mdogo sana Tanzania,ajifunze kuchuja anapotumwa na mabwana zake.
  12. M

    Ahsanteni sana Marando, Prof. Safari kwa kutuonyesha undani wa Chadema

    Njaa ni mbaya sana na kufikiri kwa namna hii ni hatari zaidi.
  13. M

    Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    Jamani hatuna serikali,alichootesha Kiwete sasa tunaona matokeo yake.Hatuna viongozi bali genge la wahuni wasiyo na busara wasiokuwa na dhamira.Nchi haiwezi kuongozwa kwa uswahili na kwa kuwaibia wananchi maskini.
  14. M

    Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    shida ni kuogopa umande,na shule walionayo ni madrasa tu.
  15. M

    Chadema someni hapa, sio mnapapatika na kukurupuka tu...

    Huyu ana matatizo ya kujipendekeza.
Back
Top Bottom