Yaani napatwa kizunguzungu kabisa Yaani nipige kura Halafu nizuiwe kwenda kusikiliza nn hukumu inasema juu ya maamuzi ya kura yangu? This is very very strange .
Du! pole sana dada. Kiukweli story yako inaumiza sana lakini nakushauri ktk jina la Mungu baba mwana na roho mtakatifu MSAMEHE BABA YAKO. HUWEZI KUJUA PENGINE ALIKUWA ANAPITIA WAKATI MGUMU. BABA NI BABA TU. TIMIZA WAJIBU WAKO MENGINE MWACHIE MUNGU ANAJUA ATAKAVYOFANYA. USITAFUTE SABABU MAANA...
Du hii ya nyalandu Kali yaani ameenda kujikomba kwa wamarekani ili wampe urais wa Tanzania! Sasa ndg zangu urais wa aina hii siataendesha nchi kwa maslahi ya marekani? Coz lazma kuna dili watakuwa wamekubaliana. Halafu ikulu yetu jamani siitakuwa gesti bubu?
Unajua Dada hats malaika wa Giza hujigeuza malaika wa nuru sasa hatujui hao malaika waliokuja kumchukua babu yako ni malaika wa nuru au wa Giza. Nakupongeza kwa kuokoka umefanya uamuzi sahihi kabisa
Kama habari hii itakuwa kweli yaani mwigulu kuwa waziri basi nitaamini Tanzania kweli kichwa cha mwenda wazimu kila mtu anajifunza kunyoa. Hivi huyu mwigulu amefanya nini hadi astahili uwaziri?. Labda kama jk ataongeza wizara mpya itakayoshughulika na umbea na udaku
Ni kweli mkuu hata mm mambo yamekuwa yakiniumiza kichwa sana. Nashindwa kueleza dhana hi yo ni kwamba viongozi wetu hawajiamini au inakuwaje? Coz hata Leo baadhi ya sheria hizo bado zipo.
Mtu yeyote yule anaeisifu ccm ni mwenye akili fupi hafikiri/ haoni mbali. Ni mtu alieridhika na mfumo wa maisha ya " chumia tumbo" wakati wao wanabadili magari ya kifahari kila uchao, wanachota nyara za serikali, wanaficha mihela uswis na wewe unashindia mihogo kila siku ?halafu unathubutu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.