CHADEMA mikononi mwa Lowassa. Ajipachika mamlaka ya kiongozi mkuu, awa sawa na Zitto Kabwe wa ACT

Kuna taarifa kutoka chanzo kimoja cha siasa kilicho karibu na nguli wa siasa nchini tanzania mzee lowassa ,

huenda akawa ni mmoja wapo wa wageni watakao hudhuria shughuli hiyo ya kukabidhiwa uenyekiti dr magufuli,
suala lenye mvutano mpaka sasa ni jee aende kama nani,

sababu viongozi wa ukawa wameshatoa kauli kuwa wamekataa mualiko,lakini yeye amepingana nao kwa kuwa yeye ni mwanasiasa mkongwe aachwe audhurie siasa si uadui na bado mbona kadi ya ccm hajairudisha na anailipia,mpaka sasa bado viongozi wanamsihi asifanye hivyo,

ila yeye amesema anaweza kuingia kama wazir mkuu mstaafu au kama lowassa binafsi hana ugomvi na mtu yeyote ccm,kilinukuliwa hicho chanzo cha hii tetesi!

wacha tuone hiyo tarehe 23 july.


Hawezi HAWEZI kuhudhuria, kwani yeye ni kiongozi wa chama kipi ndani au nje ya UKAWA?? Hawaalikwi watu binafsi bali viongozi wa vyama vya kisiasa. Japo kanunua CHADEMA lakini huo ununuzi ulifanyika kinyemela na hata leo ukimuuliza kama yeye ni mmiliki wa CHADEMA atakataa japo moyoni mwake anafahamu yeye ndio CHADEMA kwa sasa. Labda itokee kuwa CHADEMA au UKAWA wameiandikia CCM kuwa Mh. Lowassa ataiwakilisha CHADEMA hapo kweli ataweza kwenda kuhudhuria huo mkutano mkuu wa chama kilichotibua ndoto yake ya kuingia Ikula kwa gharama yoyote ile.
 
.....Siondoki CCM mtaondoka nyie mimi nitabaki.

....... CCM sio Baba yangu, nimeamua kuondoka.

.......Nikishindwa Urais nitaenda kuchunga Ng'ombe.

.......Najiandaa kuingia Ikulu 2020.!

Huyo ndio Lowasa Mwenye msimamo.!!!
Tunatofautiana mitazamo idawa
 
Sumaye naye atahudhuria? Wanaweza wakatumia mwanya huo kurudisha kadi za makazi mapya. Inawezekana wananyemelea kuteuliwa kwenye bodi, huoni Lyatonga kaula. Njaa haina adabu.
Sio wote wanaofanya siasa wananjaa ya kuteuliwa. Sio wote wanafuata Ajira kwenye siasa.

Siasa ni Biashara ya Matajiri.
 
Piga ua zaragaza zika fukua hatahudhuria huo mkutano.

Mbona kitakuwa kituko cha karne
 
kipara kipya huu ni uzushi kilo mia tisa, sipingani na chanzo chako cha habari lakini naamini kabisa kuwa haya hayakutoka kwenye kinywa cha EL...Kwakuwa yeye ni mtu wa misimano
Msimamo ni pamoja na kupuuza agizo la Chadema kususia mwaliko wa CCM Kisha yeye kuhudhuria, huo ndo msimamo
 
.....Siondoki CCM mtaondoka nyie mimi nitabaki.

....... CCM sio Baba yangu, nimeamua kuondoka.

.......Nikishindwa Urais nitaenda kuchunga Ng'ombe.

.......Najiandaa kuingia Ikulu 2020.!

Huyo ndio Lowasa Mwenye msimamo.!!!
Mshana na jopo lake wasome hapo kwa kumbukumbu
 
Back
Top Bottom