Recent content by medrickrobert

  1. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

    LG v20
  2. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Full maujanja njia za kuepeka usumbufu wa simu jaribu sasa

    hapo salute mkuu
  3. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Mwenye anahitaji kijana wa kazi

    Hiyo kwer mkuu bt ningeweza hata kuanzisha goli lkn capital ndo inakuwa shida,, ndo mana nataka nifanye kaz kwa mtu then one day nitafungua goli lang mambo yakikaa vzur
  4. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Mwenye anahitaji kijana wa kazi

    Daaa,, ni possible tu
  5. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Mwenye anahitaji kijana wa kazi

    Ndio ni possible tu mrad tu iingize hela
  6. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Mwenye anahitaji kijana wa kazi

    Mdogo mdogo ety
  7. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Mwenye anahitaji kijana wa kazi

    P1 sn
  8. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Mwenye anahitaji kijana wa kazi

    Niko mbeya na nimzoefu wa kutengeza simu hardware na software kdogo,, mzoef wa compyuta japo sijasomea,, bt sichagui kazi, yoyote ile nafanya, contact 0745776502 medy
  9. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Kama kuna group la whatsapp ni add plz,
  10. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Join me in group please 0756744619
  11. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mfadhili wa kunisomesha?

    mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016 na nilichukua mchepuo wa sayansi na nilipata daraja la pili(division 2) nilichaguliwa kujiunga na sekondari lakin ckuweza kupata wa kuniendeleza kimasomo... in short ni yatima..
  12. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuahirisha kesi ukoje

    nikishindwa kuwasilisha ushahidi je kuna uwezekano wa kushtakiwa na mtuhumiwa?
  13. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuahirisha kesi ukoje

    mkuu nnashukuru sana.. umenipa mwanga
  14. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuahirisha kesi ukoje

    ina kama siku nne hv
  15. medrickrobert

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuahirisha kesi ukoje

    Nina mtuhumiwa wangu yuko mahabusu.. inatakiwa tar 12 kesi isikilizwe. Lakini ushahidi bado sijakamilisha na nikisema niende hiyo tar 12 kuna possibility kubwa ya mtuhumiwa kushinda kesi mana ushahidi bado sijaupata.. Msaada utaratibu ukoje wa kusogeza kesi mbele
Back
Top Bottom