medrickrobert
Member
- Apr 25, 2017
- 58
- 9
Niko mbeya na nimzoefu wa kutengeza simu hardware na software kdogo,, mzoef wa compyuta japo sijasomea,, bt sichagui kazi, yoyote ile nafanya, contact 0745776502 medy
P1 snKila la kheri kijana
Mdogo mdogo etyKila la kheri mkuu
P1 sn
Nina fundi simu dukani kwangu ananiingizia elfu 50 kila siku, acha ufala dogoNiko mbeya na nimzoefu wa kutengeza simu hardware na software kdogo,, mzoef wa compyuta japo sijasomea,, bt sichagui kazi, yoyote ile nafanya, contact 0745776502 medy
Ndio ni possible tu mrad tu iingize helaunaweza kuwa shamba boy?
Daaa,, ni possible tuNina fundi simu sukani kwangu ananiingizia elfu 50 kila simu acha ufala dogo
Hiyo kwer mkuu bt ningeweza hata kuanzisha goli lkn capital ndo inakuwa shida,, ndo mana nataka nifanye kaz kwa mtu then one day nitafungua goli lang mambo yakikaa vzurMkuu mbona kwa huo ujuzi hauhitaji kuwa kwenye kundi la watu wanaohangaika kiasi hicho?
Kingine, jitahidi kutumia lugha isiyokuwa na mkanganyiko.
Kila la kheri