Recent content by Medo

  1. Medo

    JamiiForums Tanzania Zijue njia za kuwa tajiri au maarufu kwa kutumia nguvu za giza

    Piga kazi kwa bidii utatoka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Medo

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaa vya kutengenezea chack, kwa yeyote anayejua wapi au nani anatengeneza, tujuzane

    natafuta vifaa vya kutengenezea chack hasa model anaye jua wapi naweza zipata tafadhali tujuzane kwa 0765310077, nipo kanda ya ziwa Magu
  3. Medo

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Jamani naombeni kujua HABARI ya zuio la PPF katika fao la kujitoa ni kweli wamezuia? Mwenye habari kamili atujuze wadau.
  4. Medo

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    kaka kweli wewe ndio mtanganyika kweli i lake it. hatuwezi kupata kitabu cha kufanya food process ukatutupia hapa mkuu.
  5. Medo

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

    Si wamezoea, mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu. Sasa segrea ileeeeeeeeeeeeeeeeeeee afungwe tu kwasababu hakuna namna
  6. Medo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    hawana jipya ccm maana kikubwa kilicho wapeleka pale ni kusema juu ya Kamanda Lowasa kuamia mjengoni hawana lolote CCM ha ha ha ha ha haaaaaaa! nasikia raha sana
  7. Medo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mawasiliano pls
  8. Medo

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa Ni Wewe Kauli Hii Ungeitafsiri Vipi Ili Ilete Uhalisia Kamili? Je Ina Ukweli Wowote Ule Au?

    Mmmmh! ikiwa na maana daladala limekufa pamoja na dereva wake tutafute jingine:)
  9. Medo

    JamiiForums Tanzania IGP Mangu: Hatuonei vyama vya upinzani

    Watanzania tunayaona wanayo yafanya, sasa kitakuja kunuka hawata amini wenyewe waendelee na hiyo tabia
  10. Medo

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Asante sana ngoja tuipekue tuione
  11. Medo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hii ndio biashara yakufanya ni tupie hiyo kwa adolphamani@gmail.com
  12. Medo

    JamiiForums Tanzania Wadau nisaidieni kuchagua jina la project kati ya majina haya

    Nashukuru sana ndugu nimeona majina mengine mapya, asante sana
  13. Medo

    JamiiForums Tanzania Wadau nisaidieni kuchagua jina la project kati ya majina haya

    Nashukuru kwa maoni yenu mazuri, hapo juu nimeandika TUNAWEZA na si Twaweza
  14. Medo

    JamiiForums Tanzania Wadau nisaidieni kuchagua jina la project kati ya majina haya

    lengo nikusaidia vijana kujikamua na umsikini uliokithili pamoja na tatizo la ajira
  15. Medo

    JamiiForums Tanzania Wadau nisaidieni kuchagua jina la project kati ya majina haya

    kusaidia vijana kujiendeleza kwa fani mbalimbali ili waweze kujipatia kipato
Back
Top Bottom