IGP Mangu: Hatuonei vyama vya upinzani

IGP Mangu: Hatuonei vyama vya upinzani

Unategemea mteule wa raisi kusema ukweli kuhusu uozo uliopo kwenye jeshi la polisi lakini huu uonevu una mwisho wake siku UKAWA tukishinda uraisi hawa polisi wanaotupiga mabomu tutawafukuza wote.
 
lamaana ni kwamba marufuku uchafu unao itwa mahakama ya kadhi katika nchi yetu

Mahakama walikuwa wanataka wahuni wachache wasiokuwa na ajira lakini nawapongeza bunge kwa kutulipia mbali huu mswada wa mahakama ya kadhi.
 
Huyu IGP mangu ana kazi kubwa ya kurudisha uhusiano uwe Ktk hali nzuri Kati ya polisi na raia, raia wanachukua kubwa sana kwa polisi maana baadhi ya askari wamekuwa wakinyanyasa na kuwaambia raia kesi....kwa hali hii hata polisi akikutwa na tatizo na anatakiwa kupewa msaada raia/wanachukua hawatompa

Kwa huu ubabe wake tusitegemee amani tena kwenye uchaguzi mkuu
 
Watanzania tunayaona wanayo yafanya, sasa kitakuja kunuka hawata amini wenyewe waendelee na hiyo tabia
 
huyo naye ni mpuuzi tu. hakuna ambaye haoni polisi wanavyotumika kukandamiza na kuangamiza wapinzani. apeleke upuuzi wake huko kama kazi imemshinda. najuta kodi yangu kuwalipa hawa maharamia.
 
Suala la polis kutumika na chama tawala liko wazi, huhitaji kuwa na digrii kulitambua hilo. Mango alikuwa anajifurahisha tu!
 
Nilifikiri baada ya jeshi la polisi kuwa na viongozi wasomi wangejiendesha kisomi na weledi wa hali ya juu, lakini tunaendelea kuona uongozi wa mitulinga, usiotumia busara wala elimu waliyo nayo kichwani. Ni yale yale ya Mahita.
 
Back
Top Bottom