Recent content by medluck

  1. M

    Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    ccm hawampendi warioba maana amewapa makavu (za uso), Mungu akujalie afya warioba maana ulisimamia vizuri sana katiba ya wananchi lkn wameificha
  2. M

    Nakerwa na Hotuba za Viongozi wa Serikali kwa kutumia muda mwingi kulitajataja jina la Samia wakati kuna vitu vya msingi vya kusemea

    hawana point lazima waseme masifasia ya hovyo, unakuta anaesifiwa nae anaenjoy... kimsingi muogope sana mtu anae kusifia, ni hatari sana kusifiwa
  3. M

    Mwanafunzi Hija Hamis ahukumiwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    huyu hajapewa adhabi kabisa, ilibidi mtaa umuhukumu hiyo sheria imekaa vibaya.. mtu anasimamisha mpini halafu achapwe fimbo 12? sio kweli
  4. M

    Je, Serikali itazuia kwenda kumpokea Tundu Lissu akirejea Tanzania?

    hakika serikali haiwezi kukubali LiSu apokelewe na wananchi kwa maandamano ya amani, watasema wanazuia kwa sababu za kiintelijensia
  5. M

    Polisi wa barabarani katika barabara kuu ya Dar-Mbeya nawapongeza msimu huu.

    Hongereni trafic police wote kwa rushwa maana nyie jamaa mmezidi sana kuchukua pesa zetu, mwenyezi Mungu awalaani sana
  6. M

    Nini chanzo cha usafiri wa mabasi kuwa wa tabu hasa kwenye stendi ya Ubungo

    ndege 7, wananchi tujitahidi tupande chopa za jiwe
  7. M

    Kanisa kubwa kuliko yote Mashariki ya Kati lafunguliwa na Rais Abdel Fattal Al-Sisi huko Cairo

    ngoja tusubir al_shaabab mda si mrefu watalipua maana kwao kanisa ni sumu GOD bless christians
  8. M

    Lipi ni jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya

    arusha kuna vijamaa vinajifanya gangster sana kumbe vinachokonolewa
  9. M

    Nimegundua Trafik wanakula hela nyingi za dereva kwa kutokujua sheria

    hawa farasi weupe ndio waliambiwa na jiwe wawe wanachukua buku dala dala za kubrashia viatu, ni jiwe aliwaruhusu maana nguo zao nyeupe wawe wanachukua ya sabuni
  10. M

    Natafuta mchumba wa kiume (HIV+)

    pole sana, Mungu akusaidie vp una watoto?
  11. M

    Tupeane uzoefu juu ya kuoa mwanamke mwenye watoto na aliyeachika

    mama yako anahasara wewe kijana, hv uliwahi kuugua uchz au ndo umepewa k siku ya kwanza ukapagawa? pole sana utaisoma namba baadae
  12. M

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    haipo sababu ya kuoa single mom, wazazi hawapendi hata sisi wanaume wa ukweli hatupendi labda kwa limbwata ukiona umezalishwa bila kuolewa utaendelea kupigwa miti na masela mpaka kine..e kisinyae
  13. M

    Agoma kuvishwa pete mbele ya kadamnasi

    hili bwashee sijui li mangi la wapi? linapigia goti kuku ningekua babaako ningekulaani we mtoto, kwanza we utakua sio mchaga labda mchaga maji wewe, acha ufwala wewe
  14. M

    Rais Magufuli wanyonge wanateseka sana huku mtaani

    na bado, hadi akili ziwakae sawa ndo mtajua ngosha ni boko
  15. M

    Hizi sare za Airline kufananishwa na DAWASCO si sawa

    kwani koti la daktari na muuza nyama buchani yana tofauti gani?
Back
Top Bottom