Recent content by meddiy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Soma Hiki Kisa Halafu tutafakari "Tabia za Mume Wangu Zilinichosha"

    Uongo mwingi hii ya mwisho
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyie wazazi msitupangie matumizi ya pesa

    Wazaz wako wana roho mbaya tu. Sasa laki tatu si umehudumia mwanao, ye inamuuma duh.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huu mfumko wa bei Rais Samia hauoni, anatukomoa au ni chuki?

    Yani ukishakua na chuki, basi kila mtu unamuona kama anakuchukia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huu mfumko wa bei Rais Samia hauoni, anatukomoa au ni chuki?

    Mfumuko wa bei upo kote si zanzibarwala si Tanzania bara, ispokua kama utapeleleza, Wazanzibar sio walalamikaji kama Watanganyika, duh, aisee watanganyika wanalalamika sana, zanzibar yanaendelea mengi ila Waznz ni wastahamiliv sn
  5. M

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Ila Trump bhan, hya hao wamarekani unawalinda vp kwa kupiga Iran,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Huyo anaefanya hivo ni kweli hana tofaut na mpagani. Kwasbb hakuna maelekezo hayo juu ya kufunga ktk uislam
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Una mengi unahitaj kuyajua kuhusu swaumu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

    Tatizo lenu wala sio kuuliza ili mjue, bali mnakebehi, msidhihaki wengine kwan hata nyiny mna mapunguf mengi ambayo msingependa kudhihakiwa. Kwenye suala la Kufunga, Kiimani ya kiisalm vzr ungejifunza Kufunga ni nn kwa mujib wa iman ya kiislam, na utakua unakosea ukijarb kufananisha funga ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyotumika kulipa visasi vya mkeo

    Oya we jamaa mbona hujamaliza story hii
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

    Hapa sasndio mjifunze nyiny m hapa sasa ndio mjifunze nyinyi ambao hamtak kaz za serikalin, Sio kwmb serikalin kuna hela sana, hapana, ila serikalin watu wanafata uhakika wa mshahar kila mwish wa mwez na usalama wa kibarua chako.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Me nadhan Kikwete hana shida bali wewe nd una shida. Au labda ni wivu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

    Aghirisha
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni ngumu kushindana na CCM hii. Pia ni ngumu kushindana na rais Samia kwa vyama hivi pinzani vya sasa

    Mh Samia Suluhu Hassan ndiye Rais ajae wa JMT,ni ukichaa tu kudhania vinginevyo! Umemaliza maneno.
Back
Top Bottom