Mimi ni mwalimu, nimesoma b Phil. Ed. Advance nilisoma HGE, lakini o level nilisoma sayansi je, nikitaka kusoma udaktari nitaanzia wapi? Maana uwalimu umenichosha malipo ni madogo pia hakuna marupurupu.. NAOMBENI USHAURI MAANA PCB NILICHAGULIWA WAKATI HUO LAKINI NIKABADILISHA NIKASOMA HGE.
Mimi ni mwalimu katika wilaya ya Arusha, namwomba Mkuu Wa nchi anipe na mimi ukuu wa wilaya nitumikia taifa. Mh. Rais kwanini huwa hauteui wakuu kutokangazi ya chini kama sisi walimu? Basi kwa kuleta usawa naomba uniteue na mimi nionyeshe uwezo wangu. Mh rais nakuahidi kuwa mimi ni mchapa kazi...
Baada tu ya itv kutangaza kuwa watatangaza moja kwa moja mkutano wa chadema, kumkaaribisha Lowassa, tanesco wameshakata umeme. Kweli ccm ni waoga wa kisiasa sasahivi wanatumia nguvu na nahisi ndani ya ccm wameishiwa hoja sasa wanatumia dola na mashirika ya kiserikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.