Magufuli ni mwadilifu sana
Fisadi mkubwa kaulize huko Tanroad na tafuta ripoti za CAG,nyumba za serikali kafanya zake.HUYU NI ZAIDI YA FISADI.
nyumba za serikali waliuziwa wafanyakazi wa serikali kama tanroad kunaufisadi tusingeziona barabara za rami nchi nzima na ww mpayukaji unapita kwenye hizo barabara nzuri

Huyo unaye mtetea ni mtanzania?
Wameumia mbaya kabisaa