meba
Member
- May 5, 2012
- 99
- 9
Mimi ni mwalimu, nimesoma b Phil. Ed. Advance nilisoma HGE, lakini o level nilisoma sayansi je, nikitaka kusoma udaktari nitaanzia wapi? Maana uwalimu umenichosha malipo ni madogo pia hakuna marupurupu.. NAOMBENI USHAURI MAANA PCB NILICHAGULIWA WAKATI HUO LAKINI NIKABADILISHA NIKASOMA HGE.