meba
Member
- May 5, 2012
- 99
- 9
Mimi ni mwalimu katika wilaya ya Arusha, namwomba Mkuu Wa nchi anipe na mimi ukuu wa wilaya nitumikia taifa. Mh. Rais kwanini huwa hauteui wakuu kutokangazi ya chini kama sisi walimu? Basi kwa kuleta usawa naomba uniteue na mimi nionyeshe uwezo wangu. Mh rais nakuahidi kuwa mimi ni mchapa kazi na naendana na kasi yako ya utendaji.
Natumai utanipa nami nafasi adhimu kama hiyo.
Natumai utanipa nami nafasi adhimu kama hiyo.