Recent content by Mea2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msanii bora wa mwaka JamiiForums, Piga kura sasa

    hiyo pull yakupigia kura ipo wapi wadau msaada please
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Ali k 4 real
  3. M

    JamiiForums Tanzania huyu atakuwa kafanya kosa gani?

    tehetehe picha imenikumbusha kijijini,jamaa kashikwa ugoni huyo hapo wananzengo wanamfundisha adabu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanroads kibaha

    wamekupigia simu au wametoa majina kwenye gazeti
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ungependa kutoka na mwanamke yupi kati ya hawa??.....

    dokta hata tunza na afya yangu ili izidi kuboreka zaidi
  6. M

    JamiiForums Tanzania msaada meatu na lindi wapi kwa kwenda

    kaka fafanua maafisa wa vyeo gani labda wakurugenzi ndiyo huwa hawataki kuhama, mimi kwa ushauri wangu aende Lindi maana Meatu watampeleka Bukundi atapigwa vumbi mpaka basi Kikwete mwenyewe anakujua anakwambia ukiwa unaingia Meatu utaona ukungu kwa mbali utafikiri mvua inataka kunyesha kumbe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua nini kinaulizwa kwenye usaili wa mchujo na jamaa wa tume ya ajira

    soma sana vitini vyote ulivyokua navyo chuo jamaa wanauliza mule mule
  8. M

    JamiiForums Tanzania Module results for November 2012

    mmmmmmmmmmmmmmmh hatari kwelikweli,hivi hata E unakua umefaulu mimi uelewa wangu wote najua mwisho ufaulu ni C
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa tume ya taifa ya uchaguzi...

    wewe kweli ni mfatiliaji wa mambo? Lubuva na mkurugenzi wake ni wateuliwa wapya kabisa ya 2010 hayawahusu ile ilikua tume ya makame na mwenzie yule MJALUO
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aibu: Tume ya ajira kuweni makini na maandishi yenu kwenye mtandao wenu

    Utumwa wa lugha ndo umetufikisha hapa me sioni kama ni kosa swala hapa la muhimu ni kukikubali kiswahili tu ndo mambo kama haya tutayaepuka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh Mwanri, kujibu maswali kwa hasira ni kuwatisha wabunge...!

    Anatumia nguvu nyingi sana kuongea,huku katoa jicho mmmmmh uongozi kazi kweliiiiiii
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makato ya asilimia nane (8%) kwa ajili ya heslb sio haki

    lakini mnakumbuka utamu wa tirdo enzi hizo bac kulipa mlipe tu hata kwa 10%
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gari ya jack wolper yachomwa moto na watu wasiojulikana

    Watu hatupendani kabisa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Bongo kumbe Hali Mbaya namna hii!!!!

    Vijijini mbona sawa kabisa kunywa maji ya namna hiyo,na hapo ukimpa yaliyochemshwa utasikia anasema hayana ladha
Back
Top Bottom