Ndugu zangu naomba kujua kama watu washaitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi kwa post ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II NA MCHUMI DARAJA LA II ambazo zilitoka mwezi wa 5.