TANROAD pia ni nyoko sana....watakuita dsm hadi shinyaga alafu wanapeana balaa nafasi 5 unawapa 4 wasichana 1 mvulana eti gender issue nyoo kumbe hata huyo mvulana alikuwa na mama yake hapo na hao wasichana wote wana ndugu hapo..same to lindi nimekaa na mdada ktk written interview ananingalia...
zito alisema hata gombea ataenda kufundisha....ameonekana hawezi kusimamia maneno yake kwa hilo si wala siwaminika...alisema atakuwa mwisho kutoka chadema huyo kaondoka ......kisiasa ameonesha ameshaanguka ...watabaki wale tu wanafata mkumbo km kitilla..
usipoenda kupiga kura ndo wanashinda kwa kupitisha maana wewe umesoma umeelewa ....ila wengine hata kusoma hawajasoma wataenda kwa mkumbo kupiga kura ya kukubali....solution jiandikishe alafu piga kura ya No..usipopiga kura ndo utahiaribu hiyo nchi yako kama unavyosema.....
wadau tulifanya written interview ya kwanza then oral interview kigongo watu wakafanya vibaya wote ....ikabidi wawaite mara ya pili ya oral hata walio miss kuja ya kwanza......sijajua vipi watu wameitwa kuanza kazi???? maana tangu january????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.