naulizia post za accounts assistant II Tanzania postal corporation(TPC) .

naulizia post za accounts assistant II Tanzania postal corporation(TPC) .

mduwanzi

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
15
Reaction score
1
wadau tulifanya written interview ya kwanza then oral interview kigongo watu wakafanya vibaya wote ....ikabidi wawaite mara ya pili ya oral hata walio miss kuja ya kwanza......sijajua vipi watu wameitwa kuanza kazi???? maana tangu january????
 
nenda kale laki 3...pamoja na degree yako............jamaa n zaidi ya makaburu kwa unyonyaji
 
Shirika la Posta mbona lilishafilisika bado linatoa ajira kwani?
 
Back
Top Bottom