wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
Huyu Msaliti Kaingia Choo Cha Kike, CCM Wanamtumia Kudhoofisha Vuguvugu La Mabadiliko Pasipojua Uchaguzi Ukiisha Na Yeye Kaisha
Ww ni mke wa mtu.tulia na ndoa yako
Huyu Msaliti Kaingia Choo Cha Kike, CCM Wanamtumia Kudhoofisha Vuguvugu La Mabadiliko Pasipojua Uchaguzi Ukiisha Na Yeye Kaisha
Chama Cha Kike hiki Mbona Rangi ya Purple. . MI NIKAJUA GARI LA NICKI MINAJ
Teh Teh huu uzi wamejaa Bavicha wana lialia ovyo! Zitto wapunguzie dawa wapumzike..
Chama makini
Anaongea kama nani?
Zitto wahurumie Slaa na Mbowe Tafadhali.