Recent content by mdunya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha Bagamoyo - Dar Chashushwa leo

    Ha ha haaa uuuwi mwenyekiti wa chama cha matezidume
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea alipokuwa akizikwa Nabii Eliya Munuo wa Mbezi Beach

    msalaba uliogeuzwa ni namna mtume Petro alivyosulubishwa wakati wa kifo chake wala si fikra zako! Mimi si mkatoliki, ila wakatoliki wamehifadhi uhalisia wa ukristo Wasioelewa kama wewe wanakurupuka tu. BWANA YESU AKUBARIKI EWE NDUGU
  3. M

    JamiiForums Tanzania Renatus Mkinga ni mwanaharakati au kuwadi wa CCM?

    mpayukaji tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Gwakisa Mwakasendo ajisalimisha CCM

    hata maskini wange....!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Maalim Seif katika Viwanja vya Gombani, Chake Pemba- Oktoba 19, 2014

    uzi umeanzisha wewe, weka updates kwenye uzi mama
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tanzania na Uganda: marafiki na maadui walikuwa akina nani na kwanini?

    Pia kumbuka, `common sense is not common'
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba aanzisha kampeni na siasa chafu

    umbea mtupu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazungu hawafungui maduka Kariakoo?

    Huo ni muziki na siyo kelele
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

    hili linamgusa hadi moyoni na hawezi kulijibu. MNAFIKI KWELI HUYU
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ajiuma puma kuhusu Baraza la Vijana Hotmix

    Huwa nawasikiliza hawa akina Nape, Shonza, Mtela M, Makonda et al na sijui wanajiamini nini Siku nchi ikichafuka sijui wataponea wapi, naona wako busy sana kutengeneza maadui na kuchukiza watu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: Sina muda wa kulumbana na UKAWA

    SALOME SICHWALE acha kuongelea ndoa za watu, unaweza nitajia mke au mtoto wa Kinana?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari kuitolea kauli rasimu leo

    Mkutano mkubwa nashangaa wazanzibar hamtupi updates
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunafanya Installation na Training za Quickbooks

    mwizi wewe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa La Katiba: Zakia Meghji alipiga kura kama Mjumbe wa Zanzibar

    majangaa!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Japokuwa nimeishia darasa la saba lakini kaka yangu ameishia kuwa omba omba kwangu

    kwa ujenzi mzuri wa hoja naamini Shy land si darasa la saba over
Back
Top Bottom