Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Kwani hiyo boti itawasaidia watu wa bagamoyo pekee? Akili mgando hizi
Itatusaidia hata sisi wa Bukoba kama replacement ya MV Bukoba kama alivyotuahidi 2010

hii ni kati ya project ambazo hazina mashiko wala umuhimu wowote kwa sasa, mbwembwe za kijinga tuu. si bora waipeleke ikahudumie ziwa nyasa lenye meli moja, bagamoyo dar kun shida gani ya usafiri?
Ni kweli mkuu,huu ni upuuzi tu.Dar-Bagamoyo hakuna shda ya usafiri hata kdogo.Bado hata wakazi wa Tegeta,Boko na Bunju haiwezi kuwa na msaada kwa kuzingatia umbali toka baharini na makazi ya watu.
Kwani hiyo boti itawasaidia watu wa bagamoyo pekee? Akili mgando hizi
Ni kweli mkuu,huu ni upuuzi tu.Dar-Bagamoyo hakuna shda ya usafiri hata kdogo.Bado hata wakazi wa Tegeta,Boko na Bunju haiwezi kuwa na msaada kwa kuzingatia umbali toka baharini na makazi ya watu.
Tezi dume katisha.

![]()