Recent content by mdudupepo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nasikia baridi ya Mapenzi, njoo unitibu

    sa wana JF tukusaidie vip? au ndo u-biyonce Jay z! show lav, acha kupayuka, utatendwa alafu ushindwe kuomba ushauri.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za urafiki.

    Anatukana mamba wakati hajavuka mto, mwambie ,"we nani mbona sikukumbuki jombi!"
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

    kiroho safi, hata wewe unapenda hizo sms. ungekuwa hupend ungeshamwambia aache. unajua kuwa sio fair ndo maana unafuta sms soon ili usikamatwa na mwenzio! mchane huyo raia kiroho safi au TAFUNA CHAPCHAP KIJANJA ATULIE!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumkera mpenzi/mchumba/mke au mme

    Thanx ver much, nlikuwa nazijua baadh, umeniongezea, sasa kaz kwangu. nimeipenda hiyo ya kusifia past relation si unajua kiporo hakiitaji moto mwing/mkubwa. kitu nyingine ni kuwa promiseless mf. nitakuja then hutokei wala nn!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii iliniuma sana. Nisaidieni

    Mdogo wangu Tafuta DVD ya "kamasutra" ukimaliza kuicheki kwa makin uje tena MMU waungwana watakutunuku Certificate ya "kudinyana" then tutakurefer next step> Dah pole sana kwa kunyang'anywa point tatu muhimu. Ulifanikisha score mtu wangu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wasitahiliwa

    mambo yetu yaleee!!! kitu ORIJINO, hakuna EDITING ya doctor. U cant judge a book by looking its cover. NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. Kaunga umenikosha sana, U did a research n u hav a right to speak.:biggrin:
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani akikupa mpenzi wako hutomsahau maisha..???

    Baby boy joh!, life long present.
Back
Top Bottom