Hii iliniuma sana. Nisaidieni

Wifi, hivi ule mstari wa chakula cha watoto usitupie nanihii umeandikwa kitabu gani vile? Najiandaa kwa mahubiri ya kesho hiyo tulipewa homework last week.
Anza kwa kutafuta massage oil madukani.

Halafu baada ya kuoga (kumuogesha, bila kusahau kumtawadha) na kumkausha maji, mlaze kitandani alalie tumbo.
Huku ukimtomasa tomasa na kumpa Maneno matamu, mdondoshee mafuta mgongoni (kumbuka uwe hujavaa kitu na umkalie mapajani bila kuput all the weight), anza na kumkanda shingo na mabega (usitumie nguvu nyingi, na usiache kummong'oneza masikioni). Muulize kama anaumia au uongeze nguvu kidogo.

Taratibu shuka mgongoni, mkamde ktkt ya mbavu, kama yuko selfish mkande kuelekea out, ili awe na mapenzi na watu, kama anajisahau yeye basi mkande inwards ili ajikumbuke.

Ongeza mafuta hadi kwenye backyard yake (yatiririshe), yafinyefinye mat.ko usitumie nguvu sana lkn.
Slide down ukae kwenye miguu ili ufanyie kazi mahips, then legs.
Mgeuze amalie back then anza na feet, toes, miguu, hips (ukiwa umemkalia kwenye kinena), then geuka cheza na kifua, mikono, kichwa (paji) la uso.

Unajua kinachofuatia! By the way how old are you? I hope umefikia right age na usisahau Condom.

Na mwisho kufanya mapenzi kabla na nje ya ndoa ni DHAMBI.
 
Habarini wangwana? Ni mara ya 1 mimi kukutana na mwanamke na hakika demu wangu game nilihisi ananizidi mautundu .kaniambia nimfanyie mambo mengii nikashindwa
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya MASEJI?
Huu ni upuuzi, Mwambie aende Mombasa watamfundisha utundu.
 
Kaazi Kweli kweli! Hivi kwa nini unataka kukimbilia mambo yaliyokuzidi umri?? Unadhani kuna mtu atakayekuwa yatari kukufundisha kufanya hiyo MESEJI unayoitaka??? ili iweje, nawe uwe fundi eeee au mwalimu? Katafute shule usome haya mambo hayakufai.

Acheni uchoyo, kijana chukua mafuta ya massage mpake mpenzio mgongoni afu ufanye kama unakanda unga wa chapati, ngoja nitaku PM kwa maelezo zaidi............lol
 
Jamani next time akihitaji hiyo kitu mpeleke kwa Physiotherapist,then uangalie anachofanyiwa ili nawe uweze kutoa huduma siku nyingine.
 
Ana umri gani huyu???? Aliambiwa afanye massage akafikiri ndo kapewa mzigo? Au maelezo yake ndo yameparaganyika?

labda tatizo lipo kwenye namna ya kuwasilisha ujumbe,muda mwingine tuvumiliane kidogo.
 
My sweet Mum taught me how to do it. . .yani nina styles tano za massage. . .nikikufanyia moja tu hauchomoki, kila kiungo kule! Ngoja niku pm walau style mbili tu nnazozipenda
1.Kneading. . .hii kama unakanda unga
2. Spider. . .kama buibui anavyotembea. . .ni balaa inakua kama inatekenya hivi
 
Mdogo wangu Tafuta DVD ya "kamasutra" ukimaliza kuicheki kwa makin uje tena MMU waungwana watakutunuku Certificate ya "kudinyana" then tutakurefer next step> Dah pole sana kwa kunyang'anywa point tatu muhimu. Ulifanikisha score mtu wangu?
 
Please again
nilishukuru sana kwa majibu mazuri na mabaya pia naomba wadau tufungie hiyo topic hapo ukisoma usi+neno.
 
Back
Top Bottom