Wanaume wasitahiliwa

Na ki ukweli hapa Tanzania makabila yote yaliyokuwa yanatahiri walikuwa wanakeketa wanawake na mpaka sasa wanafanya hivyo mpano wamasai na wakurya wachaga baadhi.. Na makabila ambayo yalikuwa hayatahiri mpaka leo sio priolity na hawakeketi wanawake mfano wahaya, wanyakyusa na makabila mengine
 
mambo yetu yaleee!!! kitu ORIJINO, hakuna EDITING ya doctor. U cant judge a book by looking its cover. NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. Kaunga umenikosha sana, U did a research n u hav a right to speak.:biggrin:
 
Teh teh, mmmmh, binafs nshawahi kutana na mkono wa sweta, sikuona km issue sn, maana nlikua nimependa jaman, kwa hakika lina raha yake, hasa ukimpata anae jua mchezo ule. Ni raha sn.
 
kila kitu kinaenda na modification, utamu upo kwenye kichwa si ngozi, lazima pawe modified upate raha zaid, lazima ugoz utolewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom