Recent content by mdigoya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vipo wilaya mpya ya kigamboni

    Viwanja vinauzwa; 25*50metre(10mil) 35*35metre(8mil) 25*45metre(8mil).Mahali chekeni mwasonga(Wilaya mpya ya kigamboni) vina hati ya kimila.Mawasiliano 0678 432 511
  2. M

    JamiiForums Tanzania Eneo + Shamba 4 sale

    65mil/55mil yana hati ya kimila NB Bei inaweza kushuka
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eneo + Shamba 4 sale

    Eneo la heka 8 Linauzwa Na Shamba la minazi heka 7 linauzwa. Mahali: Fungoni (cheken mwasonga). Mawasiliano 0678 432 511
  4. M

    JamiiForums Tanzania terrameter

    naomba Masada wa kukifahamu hiki kifaa pliz
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wana Electronics

    Mimi ni mwalimu wa somo la geography. leo nimeletewa kifaa kinaitwa teller meter na mtu kiukweli aliyeniletea akijui na Mimi nimekicheki kwa kweli kimenichanganya. naomba Masada kwa anayekipata vizuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wana Electronics

  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa mpango wa Mungu binadamu hawezi kupinga

    Ninavyoamini mm mpango wa Mungu hauzuiliki
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    ukiona mtu anafanya parsonal attacks ujuwe hana hoja, naona povu lina watoka, mbona ss wenye akili issue ya escrow tulishaielewa, sarakasi zake hazitupi shida wala kutunyima usingizi, kamwambie aliyekutuma kuwa wimbo huu wa escrow kwa Ngeleja umeshachuja
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja apongezwe kwa hili

    naona umeamuwa kulopoka kijana lete wizi wa Ngeleja hapa au unapayuka kwa kuwa mdomo ni mali yako!! na bandle umejiunga km mwanafunzi wa collage.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Ni kweli watu wamekaririshwa majina bila.kufahamu kuwa hakuna special kwa urais. Bila.kujali ushabiki Ngeleja is SMART.Na huyu mtu kadiri siku zinavyoenda anaonekana kuwa threat kwa watu fulan fulan maana hapa bongo ukiona mtu anaanza kuandamwa na tuhuma ujue ni mipango ya wale wanaotaka kulinda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja aongoza tafiti kwenye media - Urais upande wa vijana

    hoja ujibiwa kwa hoja hakuna mbadala wake kwa hali Hii ninayoiona humu kweli ngeleja ni tishio
  12. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Ngeleja

    shida ya vijana Wa Leo ni kuongozwa na hisia tu. jenga hoja zenye maana tujue kwann asiwe ngeleja na awe huyo unaempenda. Watu wanaweka facts za utendaji Wa ngeleja na nyinyi wekeni za hao mnao waamini basi tupime.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Ngeleja

    ww msafii na yupi ambaye kwako ni msafi. Ngeleja hatosha
Back
Top Bottom