Huyu Ngeleja ni kikaragosi cha fisadi Rostam toka akifanya kazi Vodacom. Alipokuwa waziri wa Nishati alifisadi mikataba ya mafuta na kupata fedha nyingi zilizomuwezesha kununua gari aina ya Mercedes benz kule D.T Dobie kwa kulipa mamilioni ya shilingi kwa fedha taslimu!! Kwavile alikuwa amefisadi na kupata hizo fedha, baada ya kulipia lile gari akaogopa kwenda kulichukua na ilibidi aliache kule kwa muda mrefu sana na hata baada ya kulichukua anaogopa kulitembelea na hivyo kulifungia nyumbani kwake!!!That is Ngeleja the aspiring presidential candidate for you!!