Ngeleja azima hoja ya Escrow

Ngeleja azima hoja ya Escrow

Escrow ni Mpango wa wabaya wa ngeleja kujaribu kuizima nyota yake. Lakini wamechemka na ndiyo maana kanda ya ziwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kaongoza kwa 83% huku wapinzani wakigawana 17%. Ngeleja katapila. Anafaa kuongoza nchi.

Yah right ....................... Nchi gani? .................. Sengerema!!!
 
83% ccm na 17% cdm. Ni akili ya kitoto sana kujiuliza kuwa cdm ina uwezo wa kushinda sengerema. Smart person hawezi kuota hilo. Only leghman like you that can think in that way.

My friend kijani(Green) better think out of the box......Umefanya analysis na kupata kura ambazo UKAWA walipata kwa jimbo la Sengerema na kura ambazo CCM ilipata kwa ujumla wake?
Ni mitaa na vitongoji vingapi ambavyo CCM ilipita bila kupingwa kwa sababu ya mapingamizi.....Mr GREEN a smart person....Is that need a Phd to analyze?
Acheni hizo propoganda eti CCM imeshinda 83%....
Narudia tena,waambieni wananchi kipi mmewafanyia na kipi mnaendelea kuwafanyia kukabiliana na changamoto za maisha yao ya kila siku. Hadithi za ushindi wa 83% hazisaidii kuirudisha CCM jimboni Sengerema!
Yes,Willy amefanya kazi yake na hapo alipofikia hawezi kulaumiwa. Aeleze wanasengerema ni vipi atamalizia changamoto zao na sio kuwaeleza escrow...sawa ndugu yangu Kijani?
 
tuache siasa za kutoana kafara kwa baadhi ya watu na siasa za majungu. Ngeleja mimi naona yuko vizuri kisiasa. Mwanasiasa mtulivu na anayetabirika. Tatizo la nchi yetu kwa sasa watu wanataka umaarufu binafsi tofauti kabisa na ndg. Ngeleja. Piga kazi kiongozi achana na majungu utafika mbali

Ni kweli watu wamekaririshwa majina bila.kufahamu kuwa hakuna special kwa urais. Bila.kujali ushabiki Ngeleja is SMART.Na huyu mtu kadiri siku zinavyoenda anaonekana kuwa threat kwa watu fulan fulan maana hapa bongo ukiona mtu anaanza kuandamwa na tuhuma ujue ni mipango ya wale wanaotaka kulinda vitumbuwa vyao. Na kwakuwa walishaisoma siasa ya bongo ni ya matukio basi ni shida. Nakukubali Ngeleja kaza buti upo vzr hususan ktk ##team vijana##
 
Back
Top Bottom