Hiyo kwa SUA ni vigumu mana itatakiwa upate 100% masomo yote sua hawaangalii A,B n.k waonwanabase kwenye maksi hivyo hata uwe na A zote huwez kupata GPA ya 5
Huo ndio ukweli wameshaanza kupewa barua na sio la saba tuu hata form 4 asiye na fani sema wanaondoa kimya kimya hapa simiyu watendaji walishapewa barua wakalalamika sana siasa ikaingizwa wakaambiwa warudishe ila zimewekwa kwenye ma.....li yao hivyo ni mtego tuu bado kufyatuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.