Recent content by Mdavire

  1. M

    Kamati ya Mwakyembe iliyomtoa Lowassa madarakani

    Wakuu hivi ile kamati ya MWAKYEMBE iliyomtoa Lowassa madarakani ilikuwa inaitwaje na naweza kuipata kwenye site gani? Msaada wakuu.
  2. M

    Kamati ya mwakyembe iliyomtoa Lowasa madarakani

    Wakuu hivi ile kamati ya Mwakyembe iliyomtoa Lowasa ilikuwa inaitwaje nanaweza kuipata kwenye site gan?Msaada naomba.
  3. M

    Ongeza siku

    Kwi kwi kwi kwi.....
  4. M

    Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

    Hi kwa Madam B labda ndo anasukutua,anavyopiga kiporo asubuhi we umpe hii,unamchezea!
  5. M

    Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

    Mchembe kutoka Mwanza ni noma,lazma utacema add somemore pls!
  6. M

    Elimu ya Uganda naya TZ,ushauri

    Thanks mkuu,ila cio mimi,mi elmu yangu kuanzia chekechea had chuo kikuu nlsomea humuhumu TZ.
  7. M

    Elimu ya Uganda naya TZ,ushauri

    Anazo credit 3 za o-level
  8. M

    Elimu ya Uganda naya TZ,ushauri

    Thnks kwa ufafanuzi.
  9. M

    Elimu ya Uganda naya TZ,ushauri

    Result zake za A-level ukzibadili kuwa za kiTZ ni 2 ya 12
  10. M

    Elimu ya Uganda naya TZ,ushauri

    Anazo 3 za A-level
  11. M

    Elimu ya Uganda naya TZ,ushauri

    Kuna ndugu yangu alisoma O-level hapa Tz,ila matokeo yake ya fm4 alipata 4,akaenda uganda akaendelea na fm5 na 6,six akapata 2,Je huyu anaweza pata chuo hapa na kuchukua degree? .Naomba ushauri wako kama una infor kuhusu hili.Thanks
  12. M

    Ofisi za wizara ya elimu

    Wakuu nna matokeo ya mtu ya fm6 lakn hakusome nchin anahtaji yabadilshe yawe ya k Tz ofc gan natakiwa kwenda ili nkayabadlishe.
  13. M

    Ofisi za wizara ya elimu

    Wana jf hiv hapa dar ofisi za wzara ya elimu ziko wapi?
  14. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Mimi kero yangu ni maji na ufisadi uliofanyika katika Wilaya Same kijiji cha Vumari.Hawa wanajiita TASAFU walikuja eti wanaboresha miundo mbinu ya maji.walidai wanajenga visima 2 vipya vya maji.Hatimaye wakakarabati tu vilivyokuwepo hawakujenga hata kimoja ,hela za kujenga visima zikaingia...
  15. M

    Saut kulipa fines

    Wanafunza wa SAUT Mwanza wanaochelewa kulipa tution fees uongozi wa chuo unawatoza faini ya tsh 100,000 kwa kila semester.Total ya laki mbili kwa mwaka kwa wale wanachelewa semester zote mbili.Watoto wa wakulima hapa tunaumiza vichwa ada hatujamaliza hapo tena tunabambikiziwa faini juu! Masikini...
Back
Top Bottom