Katika kila kabila kuna watu wa aina kwa aina. Nakusudia wezi, wasomi na kadhalika. Licha ya kuwa kuna watu wanaowatuhumu wachaga kwamba, ni matapeli na walaghai, lakini si uadilifu kuacha kutaja pia sifa zao nzuri kama za akili ya kutafuta maisha, bidii ya biashara na mengineyo mazuri. maneno...