Shirika la Afya Duniani (WHO) jana liliitisha kikao cha dharura baada ya kugunduliwa ugonjwa wa polio au maradhi ya kupooza viungo kwa watoto wadogo kwenye nchi kadhaa zikiwemo Iraq, Afghanistan na Equartorial Guinea.
Shirika la WHO limetangaza kuwa kuna ulazima wa kutangazwa hali ya hatari na kuwekwa mikakati madhubuti ya kukabiliana na maradhi hayo. Taarifa ya WHO imeeleza kuwa, kama maradhi hayo hayatadhibitiwa, hali itakuwa mbaya zaidi na kutatiza juhudi za kuutokomeza kabisa ugonjwa huo kwa njia za chanjo ya matone. Taarifa hiyo imeongeza kuwa, nchi za Pakistan, Cameroon na Syria ziko katika hatari ya kukabiliwa na ugonjwa huo.
Nchi za Afghanistan, Equartorial Guinea, Ethiopia, Iraq, Somalia, Nigeria na utawala wa Kizayuni wa Israel zimewekwa kwenye hali ya hatari ya kujitokeza maradhi ya polio. Ugonjwa wa polio n