Recent content by MDAKI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

    Kigoma pia lilipita
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unfortunately Google play store has stopped,natatuaje tatizo hili?

    uninstall update uninstall updates
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, na wewe umewasahau vijana?

  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi afungwa baada ya kutoboa Siri ya Uhusiano wa Israel na Iran Fake Enemy

    Mbona wafalme wengi Saudi Arabia ni wayahudi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Ajira za Walimu kutoka baada ya bajeti kupita

    Ajira ni MWEZI WA saba Simbachawene kashasema
  6. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Uholanzi wakamatwa Uwanja wa Ndege KIA na tumbili hai 61

    Wanyongwe wengine wataogopa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Uholanzi wakamatwa Uwanja wa Ndege KIA na tumbili hai 61

    Watasafirisha nyani, Nyi mnashangaa twiga. Watamfunga nani? Na mwanasheria mkuu ni maswaiba. Basata wanakwambia huu wimbo ni WA uchechezi. Tanzania tuna kazi kubwa kuziba HII mianya ya wizi. UKWELI UTAKUWEKA HURU
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: IPTL ni mkataba wa ovyo, Serikali haitaendelea nao!

    Je waliosaini mikataba hiyo wako wapi? Kama wanajulikana wanachukuliwa hatua gani? Je wao hawawezi kutumbuliwa? Jpm wachukulie hatua Za kisheria.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Walimu 8 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi

    Tatizo lipo KWELI. Ila tuangalie limeanza LINI na wapi? Nyumba wazazi wanaozini na watoto wao hawajulikani? Je tatizo ni mwalimu kufanya mapenzi na mwanafunzi au mwanafunzi kufanya mapenzi na mwalimu? Tatizo pia liko kwenye jamii kwa kumuona mwalimu kama SIO binadamu na wala hatakiwi kukosea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakati tunafurahia usomaji wa namba na Majipu, nchi inakwenda huku...

    Tatizo watu WENYE AKILI hajiamini. Huku wapumbafu wakifanya yao kwa kujiamini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kakosea kutuma pesa kwenye simu yangu, nimezitafuna

    Kabla hujatuma angalia jina na namba ni vyenyewe unaambiwa thibitisha ukituma pengine na umethibitisha usilaumu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kakosea kutuma pesa kwenye simu yangu, nimezitafuna

    Tukumb Tukumbuke LAKINI katika kutuma pesa kuna kipengele cha kuthibitisha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aendelea kukuna wananchi.Bidhaa muhimu kushuka Mfumko wa bei za nafaka kudhibitiwa

    Mi nadhani BADO mapema SANA. Tusubiri mwaka uishe kisha tuseme
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Rifaro Africa yafungiwa na TCRA, yatozwa faini!

    Mm mmeambiwa kilichofungwa ni code namba ya kusajiria na si kampuni. Kwa sasa tunasajiri kwa mtandao
Back
Top Bottom