Magufuli aendelea kukuna wananchi.Bidhaa muhimu kushuka Mfumko wa bei za nafaka kudhibitiwa

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12790962_1050669148330876_6642532370496605536_n.jpg

hayao ndio mabadilko tuliyokuwa tunayasubiri sio mabadiliko ya kuzungusha mikono, wala sio mabaliko ya kutoka monduli kuhamia magogoni
 
Haya mambo wanaweza kudanganywa punguani pekee yao.

Bei ya mafuta, petrol na diesel bei zake zimeshuka siyo kwa sababu ya jitihada za Tanzania au Rais wake bali ni matokeo ya kushuka kwa bei ya mafuta na bidhaa zake kwenye soko la Dunia. Ifahamike kuwa bei ya mafuta kwenye soko la Dunia, kuanzia miaka 3 iliyopita imeshuka kutoka U$140 mpaka U$30 kwa pipa. Tanzania bei ya mafuta imeshuka toka TZS 2,200 mpaka TZS 1,490 kwa lita.

Kama uchumi wa Tanzania ungekuwa unaendeshwa vizuri, sahizi mafuta yalistahili yawe yanauzwa kati ya TZS 500 - 600 kwa lita. Kwa hiyo katika punguzo tulilo nalo sasa, hakuna cha kujisifia.

Bei ya umeme itashuka kwa 1% - what a joke! Ina maana kama nilikuwa natumia umeme wa TZS 100,000 kwa mwezi, sasa nitalipa TZS 99,000. Wale wanaotumia umeme wa sh. 20,000 kwa sasa, watapata punguzo la sh. 200! Hizi ni jitihada za kuwapumbaza watu waone kama kuna unafuu wakati hakuna kilichopungua. Umeme angalao ungeshuka kwa 15% - 20%, tungeamini kuna jitihada zimefanywa. Mafuta yameshuka sana bei, umeme wetu unatokana na gas na mafuta, bado wanashindwa kushusha bei, wanatujie na kiinimacho cha 1%!
 
nyama leo asubuhi nimenunua 6000/= maana nilisafiri 1 month niliacha kilo 8000/=
 
...Acha ujinga wewe,..kwanini hayakushuka enzi za msoga? licha ya kupolomoka bei soko la dunia?,..unataka Rais akubebe ndio uridhike?,..
 
Mtaani kwetu sukari 2300
Unga kilo 2100
Mafuta taa ndo HVO hayashikiki...bei za nafaka nyingine sokoni hazishkiki...Huko kwenu vipii
 
Sukari bei gani huko nyumbani? nipo hapa katerero ni Tsh 2500.
 
Haya mambo wanaweza kudanganywa punguani pekee yao.

Bei ya mafuta, petrol na diesel bei zake zimeshuka siyo kwa sababu ya jitihada za Tanzania au Rais wake bali ni matokeo ya kushuka kwa bei ya mafuta na bidhaa zake kwenye soko la Dunia. Ifahamike kuwa bei ya mafuta kwenye soko la Dunia, kuanzia miaka 3 iliyopita imeshuka kutoka U$140 mpaka U$30 kwa pipa. Tanzania bei ya mafuta imeshuka toka TZS 2,200 mpaka TZS 1,490 kwa lita.

Kama uchumi wa Tanzania ungekuwa unaendeshwa vizuri, sahizi mafuta yalistahili yawe yanauzwa kati ya TZS 500 - 600 kwa lita. Kwa hiyo katika punguzo tulilo nalo sasa, hakuna cha kujisifia.

Bei ya umeme itashuka kwa 1% - what a joke! Ina maana kama nilikuwa natumia umeme wa TZS 100,000 kwa mwezi, sasa nitalipa TZS 99,000. Wale wanaotumia umeme wa sh. 20,000 kwa sasa, watapata punguzo la sh. 200! Hizi ni jitihada za kuwapumbaza watu waone kama kuna unafuu wakati hakuna kilichopungua. Umeme angalao ungeshuka kwa 15% - 20%, tungeamini kuna jitihada zimefanywa. Mafuta yameshuka sana bei, umeme wetu unatokana na gas na mafuta, bado wanashindwa kushusha bei, wanatujie na kiinimacho cha 1%!
Oppose everything. Mtazungusha sana mikono
 
Mkuu kuishi na hawa viumbe wa ccm yataka kipaji, asante kwa comment yako sina LA kuongeza muda huu
 
Mtaani kwetu sukari 2300
Unga kilo 2100
Mafuta taa ndo HVO hayashikiki...bei za nafaka nyingine sokoni hazishkiki...Huko kwenu vipii
UNAISHI KIGAMBONI????????????
NAULI YA KIVUKO 200 MPAKA LEO UNAMTUKANA MAGUFULI SASA SUKARI UNATAKA IWE KIASI GANI???????
 
Kushuka kwa bei ya bidhaa kunategemea sana na ukuwaji wa uchumi na hasa uchumi wa viwanda kwa kuuza nje kwa thamani zenye ubora ikilinganishwa na vitu tunavyoingiza. kwanza kukuza thamani ya shilingi yetu, pili kutumia currency moja ndani ya nchi yani shilingi na sio dola.
 
Tanzania yetu ni ile ile. Ni matumaini tu ndiyo yameongezeka, lakini hakuna kilichobadilika.
 
Waturudishie bei zetu za mafuta ya taa. Uwezo Wa kuzuia uchakachuaji Wa mafuta wanao sasa.
 
Haya mambo wanaweza kudanganywa punguani pekee yao.

Bei ya mafuta, petrol na diesel bei zake zimeshuka siyo kwa sababu ya jitihada za Tanzania au Rais wake bali ni matokeo ya kushuka kwa bei ya mafuta na bidhaa zake kwenye soko la Dunia. Ifahamike kuwa bei ya mafuta kwenye soko la Dunia, kuanzia miaka 3 iliyopita imeshuka kutoka U$140 mpaka U$30 kwa pipa. Tanzania bei ya mafuta imeshuka toka TZS 2,200 mpaka TZS 1,490 kwa lita.

Kama uchumi wa Tanzania ungekuwa unaendeshwa vizuri, sahizi mafuta yalistahili yawe yanauzwa kati ya TZS 500 - 600 kwa lita. Kwa hiyo katika punguzo tulilo nalo sasa, hakuna cha kujisifia.

Bei ya umeme itashuka kwa 1% - what a joke! Ina maana kama nilikuwa natumia umeme wa TZS 100,000 kwa mwezi, sasa nitalipa TZS 99,000. Wale wanaotumia umeme wa sh. 20,000 kwa sasa, watapata punguzo la sh. 200! Hizi ni jitihada za kuwapumbaza watu waone kama kuna unafuu wakati hakuna kilichopungua. Umeme angalao ungeshuka kwa 15% - 20%, tungeamini kuna jitihada zimefanywa. Mafuta yameshuka sana bei, umeme wetu unatokana na gas na mafuta, bado wanashindwa kushusha bei, wanatujie na kiinimacho cha 1%!

acha upotoshaji wako , Ccm ya Magufuli inahitaji pongezi nyingi sana kwa kuleta unafuu Wa maisha kwa wananchi wake.
 
Back
Top Bottom