Rais wangu, na wewe umewasahau vijana?

Rais wangu, na wewe umewasahau vijana?

*SIKU MOJA IKULU, URAIANI SIKU NGAPI???*

Nikianza kwa kurejea WARAKA WA PILI WA PETRO (PETRO 3:8), Neno la Mungu linasema *“Lakini, wapenzi, musilisahu neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja”.*

Ilikuwa mnamo tar 14 juni waraka wa kusitisha ajira ulikuwa umezagaa kwenye mitandao ya kijamii , waraka huo ukionesha kuandikwa tar 13 ya juni mwaka 2016, kwenda katika idara, na wizara mbalimbali za serikali, ilikuwa ni vigumu kaumini waraka huo hadi pale tar 22 june mwaka 2016, Rais JPM alivyothibitishwa kuwa ametoa maagizo kuwa ajira mpya zisimame kwa muda wa *mwezi mmoja au miezi miwili.* ( ).

Kwa hesabu za haraka-haraka mwezi mmoja ni *siku 30*na miezi miwili ni *siku 60*, hii ina maana kwamba kama kusitishwa kwa ajira kulianza tar 13 June basi kutokana na ahadi ya Rais, ajira mpya zingerejea kuanzia tar 14 july ( mwezi mmoja ) au tar 14 August (miezi miwili) ya mwaka 2016. Lakini kama ajira hizo zilisitishwa baada ya tamko la Rais la tar 22 June, maana yake ajira ingebidi zirejee tar 22 july ( mwezi mmoja) au tar 22 august (miezi miwili). Lakini bado nadharia ingine tunaweza kusema mwezi mmoja au miezi miwili basi mwezi wote wa july , pamoja na mwezi wa august, hivyo ajira zingerejea mwezi semptemba.

Sasa ni zaidi ya *mwezi mmoja au miezi miwili*(kwa tafsiri zote tatu) imepita na hakuna taarifa sahihi kuhusu ajira mpya serikalini, kabla ya yeto ningelipenda kumkumbusha, Mh Rais kuwa idadi kubwa ya watu wanaosubiria ajira hizi mpya za serikalini ni vijana na wengi wao kutoka familia duni wakiwa wamemaliza vyuo mwaka jana, pia kufika mwakani kuna vijana wengine waliomaliza mwaka huu (2016) wataongeza nao kuanza kudai ajira, sasa je mh Rais huoni kama serikali inajiwekea viporo vingi? ila pia kufika mwakani mwezi wa tano kuna vijana wengine watakuwa wamemaliza nayo tayari. Kwanini serikali isipunguze baadhi ya vijana mtaani kuliko kujiwekea viporo ambavyo vineweza kuiletea serikali *maumivu ya tumbo??*

lakini pia ningependa kumkumbusha mh Rais mnamo tar 13, may 2016 alifanya ziara ya kushtukiza pale *terminal one JNIA,* na moja ya kauli aliyoitoa kuwa hapendwi *kudanganywa,* hakika ni kweli hakuna anayependwa kudanganywa, () mh. hupendwi kudanganywa, hata mimi sipendi kudanganywa, hata *vitabu vya Mungu vinakataza uongo*, sasa kwanini tuwadanganye hawa vijana wanosubiria ajira serikalini? Je vijana hawa wanapendwa kudanganywa? Kwanini kila kiongozi awadanganye?, je miezi miwili kupita bila ajira ni ukweli au uongo, mwezi mei kupita bila ajira ni ukweli au ni uongo?

Suala ambalo linaumizwa kichwa zaidi ni kuwa vijana hawa walihaidiwa bungeni kuwa ajira zao mwezi mei, nini kilipelekea mwezi mei wasiajiriwe? hadi ulipofika mwezi wa sita ajira zikasitishwa?. Au suala la kusitishwa kwa ajira lilikuwepo hata kabla ya kutoa tamko la kusitishwa, kama ndio kwanini walihaidiwa mwezi mei? Kama sio nini kilipelekea mwezi mei wasiajiriwe?

Mh rais idadi kubwa ya hawa vijana wanaosubiria ajira ni walimu, manesi, wasaanifu maabara, na madakatri, unavyowaajiri hawa sio tu umewasidia kupata kipato ila pia umesaidiwa watanzania wa hali ya chini, kupata huduma za elimu na afya pia.

Ubaya zaidi vijana hawa wanapata changamoto kubwa ya kutoaminiwa katika sekta binafsi kwa sababu tu wanaajira za moja kwa moja, Mh rais vijana wako wanaumia mtaani,hawana kazi hawana matumaini, hawana pa kwenda, pengine unaweza ukahisi kuwa wanaumia kwa kukosa ajira tu, hapana wanaumia na kuteseka kwa kukosa taarifa rasmi, wapo walioenda sekta binafsi wakakataliwa, wapo waliotamani kuanzisha miradi wanashindwa kwa sababu hakuna taarifa rasmi juu ya ajira, huwezi kusema leo hii ufuge kuku, wakati hujui kesho kuna ajira au lah,

Mh rais umesikika mara kadhaa ukitaka watu wafanye kazi, vijana hawa wanafanye kazi wakati umesitisha ajira, nesi anaamua kwenda kuomba kazi pale agakhan anaambiwa wewe ajira yako ipo serikalini zikitoka utaondoka, analia yupo tayari kuacha hata vyeti lakini HR-officer anakataa, kwa sababu hakuna taarifa sahihi juu ya ajira mpya serikalini, kungekuwa na taarifa kuwa hakuna ajira nesi Hutu angepàta kazi.
mh vijana wanataka kufanya kazi ila mheshimiwa umezisimamisha kazi, watafanya nini? Na bado unawaambiwa wafanye kazi.

Kwanini serikali imeziba masikio juu ya ajira mpya, suala hili ni hatari zaidi kwa vijana hawa, wanaweza kuijiingiza katika masual yasio kuwa mema katika jamii.

Munataka musikie kuna muhitimu wa ualimu kaiba,ndio muamini kama watu wanashida, au musikie kuna nesi wa kike anajiuza ndio tujue kuwa wanamaisha magumu, au tuambiwe na waandishi kuwa kuna muhitimu wa shahada ya udaktari kutoa bugando anatoa mimba nyumbani kwake ndio tuamini kuwa hawa vijana wana maisha magumu, au mpaka mtu aitukane serikali ndio tujue kuwa hawa vijana wanateseka. Hapana tusifike huko, tuwanusuru, tuwape ajira au tuwape taarifa rasmi lini watapata ajira zao,

Amesikika mh. Angelah Kairuki akisema kuwa wanafanya kwanza tasmini ya hasara iliyoptakina wajue kisha ndio waajiri, zoezi hili ni la muda mfupi tu ,suala la msingi la hawa vijana wanasema hasara ya watumishi hewa vinaingliana vipi na ajira mpya? Pengine kuna mwingiliano basi waweke wazi ni lini hasa ajira zitakuwa zitatoka. Lakini hadithi za muda mfupi zimeanza kusikika tokea January hadi leo semptember , hadi hawa vijana wanajiuliza nini maana ya muda mfupi?

Serikali iweke wazi juu ya suala la ajira Kama mwakani serikali iseme , kama mwezi huu serikali iseme, kama mwezi ujao serikali iseme, kama hakuna kabisa serikali iseme, kama serikali haina fedha, serikali iseme, Lakini kuisha kwa miezi miwili bila taarifa sahihi kunapelekea kuwa na sintofahamu kubwa sana mtaani, hadi watu tunajiuliza hivi *siku moja ikulu uraini siku ngapi, pengine bado ikulu miezi miwili haijfaika*

Sio tu kwa ajira za serikalini. Kwa vijana walioshauriwa wakalime sidhani kama viongozi wanatamani kuzioma sura zao.
Maana bei za mazao zimeporomoka sana. Kwa nchi ambayo zaidi ya asilimia 70 ya uchumi wake unategemea kilimo jambo hili ni hatari sana. Halafu tunaambiwa uchumi umekua.

Serikali iangalie sera inazotekeleza kama zina manufaa yoyote kwa wananchi wake badala ya kufanya haraka katika kutekeleza.

Mh. Rais ulianza vizuri sana na kauli mbiu yako ya hapa kazi tu iliamasisha vijana kujikita katika kujishughulisha katika shughuli mbalimbali. Lakini huku tunakoelekea wananchi watapoteza imani na wewe.
 
nikiwazaga mda mwingine huwa natamani kulia........ccm ndo imetuleta na kutuweka hapa yani..........
hamna ajira maisha maguma,madini na natural resources zimehodhiwa na wachache
 
Kumbe we we hujui kuwa vijana hutumiwa katika kampeni kuombea kura halafu wakishachaguliwa basi inabaki ni ahadi tu?
 
Suala la kuajiriwa naona hilo mwaka huu halipo. kwanza mwezi wa10 form 2 watakua na national exams, 11 kutakua na form f4 national exams so wanaona hakuna kitu ambacho labda wanafunzi watanufaika
My concern:Serikali iajiri basi na itoe kabisa post ili hata kama ni mwezi wa 01 vijana wawe na uhakika, kuliko kukalishwa nje ya game kama michembe
 
Safi sana kwa bandiko lako Mkuu

Ila hili bandiko limetonesha vidonda vya wadogo zetu waliopo mtaani wakiwa wanaosubiri ajira zao.

Inauma sana ingawa nawashauri watumie plan B walizokuwa nazo toka huko vyuoni kama hauna plan B zama tu kwenye kilimo kama Mimi hakika siku moja mambo yatakuwa poa tu.

Kulalamika/ kulaumu siyo suluhisho hata kidogo bali ni wewe kujitambua kuwa kwani bila ajira hakuna maisha au kuwa na ajira Ndiyo kuwa na maisha mazuri?

Ukisha majibu ya hilo swali hakika mambo yataenda vizuri sana ndugu zanguni.

Hii ndiyo Tz yetu...msomi mwenzagu jaribu kutafuta maisha mbali na ajira .

Najua utasema mtaji hauna hiyo siyo ishu sana katika utafutaji na haitaji uwe na mamilioni ya pesa ndiyo upige mishe zako la hasha hata elfu 20 inaweza kukufikisha mbali sana.

Cha msingi ni kuwa na nidhamu ya kutumia hela vizuri hakika mambo yatakuwa poa sana.

Hata utakapopata hiyo ajira hakika utakuwa ushapiga hatua ndefu sana.

mimi ni clinical officer unanishauri plan B gani kwa mfano? nifungue zahanati? pharmacy? au lab? kwa mtaji upi? niache taaluma yangu nifuge kuku? nikifuga kuku alafu ajira zikitoka namwachia nani hiyo miradi?
 
Back
Top Bottom