Recent content by Mdadamwenyewe

  1. M

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    TRAVELLERS GIFT hiki kitabu kilifanya nibadili mawazo yangu kuwa vitu halisi na kuweka njia ya kuishi kwenye ndoto zangu..
  2. M

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Kiyosaki author mzuri sana kwa masuala ya uchumi kitabu chake chochote ni cha kusoma kama unataka kubadili mtazmo wako juu ya maisha yako kiuchumi
  3. M

    Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

    Swali ni "Wewe huchezei dada za wenzio"? Kama sio kua tu mpole Kama ndio endeleza mkwara.
  4. M

    Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

    Lara 1utawapoteza wenzio some women are gullible za kuambiwa hawachangany na zao.... me niolewe af nikukute na mume wngu, you r dead meat!!! Ukitendwa vumilia ugulia maumiv yakiisha lyf goes on! that is how we do..
  5. M

    Mapumziko ya Siku za Kazi Yamezidi Kipimo Serikali na Chama Cha Wafanyakazi Do Something!!

    Hehheee ajabu kama ana fuko la ela ama kisima me sijali nimefanya kazi mhahara wangu nataka imekua public holiday napumzika na mshahara nataka kwan sheria ya mapumziko tumeweka sisi???
  6. M

    Mapumziko ya Siku za Kazi Yamezidi Kipimo Serikali na Chama Cha Wafanyakazi Do Something!!

    well said Wanafuja jasho letu halafu tuwafanyie kazi mpaka sikukuu???? big NO. Tena akina sis tunaowafanyia kazi ngozi nyeupe wanavyojua ku utilize resources nataman weekend iwe siku nne ili nipate muda wa kufanya mambo mengine yanayoweza kunikuzia uchumi binafsi sio huo wao wa kwenye paper work
  7. M

    Inakera sana!!!!!! Taja kero yako.....

    Wote mko kazini mmeajiriwa af mwenzenu mmoja ajifanye kama boss kuhoji kila unachofanya ukimwangalia vizur amekukuta ofice hiyo wananikeraaa
  8. M

    Chanzo cha viumbe vyote(Kisayansi)

    Mtoa mada sayansi kimu ukasome tena utuletee hoja zenye mashiko.
  9. M

    Wanawake wa module pasua kichwa

    Hehehee mwenye sikio na asikie
  10. M

    Wanaume Wafanyakazi Wanavokufa na tai shingoni! chezea white collar job!

    We nae kwa mfano ndo yeye huyo x wako then what????? si ungem pm tu umwambie kama ulitaka ajue we ni nani... shida
  11. M

    Wanaume Wafanyakazi Wanavokufa na tai shingoni! chezea white collar job!

    Lara1 nimependa uandishi huo raha kusoma na huyo shost mpe ukweli kistaarab kama yuko vizur upstairs atakuelewa sabab humwamulii maisha ila utamsaidia akae kwa tahadhar.....
  12. M

    KIDON, unawajua hawa? The deadliest killing machine

    Hii imenokumbusha story za Jason Bourne na The Jackal
  13. M

    6 golden rules for ladies!!!

    Hujui ukisemacho
  14. M

    Story ya kweli: Niliwahi kutembea na wasichana hawa

    Unahitaji maombi mdogo wangu hilo ni PEPO
Back
Top Bottom