Wiki iliyopita nimetoa gari yangu kupitia wao, wako vzr sana, kwanza tra nlilipia kabla hata gari haijafika, na gari nilichukulia ofsn kwao, walilipa gaqgama za bandarin na shipping line gari ikatoka ndo nkawarudishia pesa zao nkachukua na gari
Nimekusanya vsenti vyangu nikaagiza gari japani, sijakaa sawa uchakavu ukawa miaka nane ikabidi nijichange tena ili gari lisije likaozea bandarini, documets zimekuja TRA wame uplift CIF ina maana kodi inazidi kuwa kubwa zaidi. Jamani hii tanzania tunaenda wapi jaman, TRA SINA HAMU NA NYINYI
Habari wana JF,
mtoto wangu ana mwaka mmoja sasa, tangu azaliwe sijawahi kumpa dawa ya minyoo, na kama mjuavyo watoto wa umri huu kila anachoona anataka aweke mdomon.
Je naweza kumpa dozi ya dawa ya minyoo hata kama hajaumwa?
wengne wanaish kwenye ndoa zinawaka moto lakini wamo, we unaish vzr mkeo yani historia ya nyuma ndo ikuharbie raha ya ndoa!!! najua inauma ila na ili uwe huru mwambie ukwel ujue n kipi kinakuumiza ili maisha yaendelee kuliko afkrie una mchepuko then na yeye achepuke haitakuwa ndoa tena. Weken...
Anaitwa Rammy Galis ila hawafanan, ile movie ya mwsho ya power of love ya kanumba wkt inaanza wameonekana pamoja yan kanumba na huyo kaka sa sijui alikuwa ameanza kuigza naye au ni mambo ya computer
Wadau sijawahi kumiliki gari ila sasa nimejikusanya nikapata milion 10, naomba msaada nataka kuagiza gari lakini nina wasiwasi kama kiasi hicho kitatosha hadi kutembea barabarani. Gari ninayo plan ni raum, ist na spacio.
Naomba ushauri kati ya hizi ipi naweza kuipata kwa kiasi hicho cha pesa...
kiukwel hata kama ingekuwa kabila lngne lazma wangekasirka, manake wamejiandaa then hawaon watu, we tulia kama ni wako utamuoa tu vngnevyo wakiendelea kukataa mwache Mungu atakupa wako
wakati mwngne ni vzr kuchukua maamuz magumu, angekuwa anakupenda angekwambia tatizo tang mwanzo kuliko kucheat kwanza then ndo anakueleza, kimbia huyo hakufai atakuumiza tu mbelen, bora angefanya mara moja lakn mara zote hzo we bdo tu unamhtaj duh,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.