Me sitachepuka ila nitaishi mazingira ya kimada wa MTU mwingine...najijali watoto nawajali out na wanangu full raha....namtenga kiaina fedha za matumizi namwambia haztoshi....naanza na kufanya mambo ambayo najua hata tukitengana nakua sijutii..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sijui kwa nini hamuelewagi yaani binti anajilegeza kwako unajiachia kiivyo???? Wengi wao huwa wanataka kuwabambikizia mimba zisizo zenu..magonjwa..lakini huwa mnajitia hamnazo,,,mnaishia kukimbia familia na majukumu mliyobambikiziwa!!!! Mna laana kwa kweli fungukeni akili,,,vichwa vya chini...
Duuhhh nimeshalielewa tatizo kwa nini vijana wanaogopa kuoa ilihali umri umempisha mkono...ona kina kaka wanavyosukumana hapo duhhh...naona vichwa vingi ni wakaka...aisee Mungu tutazame waja wako tuna mengi yanayoumiza mioyo yetu!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chek sasa Mara ya mwisho kumnunulia mkeo khanga ilikua lini????? Oohhh napenda alafu awe na chura ooh mkia...ohhh kabinukaa....ndo maana mnamendeamendea vya wenzenu vyenye chura!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada Leo kama sio kesho watu watachanana sura NA hivi magu anakaza kamba wanawake walioolewa kwa lengo la kuhudumia familia watateseka sana......wanazaa kwa uchungu hebu wanaume mkae angalau kwenye majukumu yenu,...dot.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa mwanaume akiwa smart kila idara michepuko noo... anajali familia.... Maendeleo yapoo@ aisee nitaparangana mpaka kieleweke****mitabia yao ndo huwa inatukatisha tamaa NA kutumaliza nguvu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie muache kuwapa wachumba zenu majukumu ya ndoa!!!! Mara kufua kupika sheria kibao,,,akati huna mpango nakua naforce nisiendelee kuwa mtumwa wako mwisho wa Siku unabwaga...ahhhhh kwanini nisijue hilo ili nijiongeze mapema???? Unaishi na dada wa watu miaka 4 huoi, miaka 30 ndiiii inagonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.