Recent content by mcunguzi nyaishozi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mchango wa Tundu Lissu CHADEMA ni upi?

    Ask critical qns
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mende ni nini?

    Sumu au dawa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watch "Power-hungry Yahya Jammeh is STILL CRYING over his LOSS." on YouTube

    Black skin is a problem
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Kuwa wazi au ulikuwa na miraa kwenye hivyo viatu? Kwa hali ya kawaida kama vibali unavyo na mali ni yako haiwezekani akudhulumu kizembe hivyo.muraaaa kweliii?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama baba angekuwa Wassira halafu mjomba ni Lipumba unekuwa na tabia gani!

    Nimekaa nikafikiria kutokana na tabia za hao watu wanekuwa mashemeji kijana wao angekuwa na tabia ambayo ni average ya tabia zao nahisi Hugo kijana angekuwa anakera
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri 5 bora 2016

    Uliyepost unaweza kuwa mtu wa tarime tena ni mdau wa Mbele kwa mbele.Huyo DC wa Tarime kwa media ni shidaaaa!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa walimu wote

    Unatoa ushauri au unaamua kuonyesha weledi wa domo lako kuharisha kashfa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mossad: Nguzo imara nyuma ya ustawi wa taifa la ISRAEL dhidi ya hila za SYRIA.

    Wanatumia jina Israel lakini wale ni wahuni toka Germany Russia France na Eastern Europe.Was Ethiopia wanadai wao wanaundugu nao lakini wanabaguliwa.Hawa jamaa ni waporaji kama Morocco kwa Saharawi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya TUCTA na CCM. Ni ngumu sana TUCTA kumtetea mfanyakazi.

    Hilo halina ubishi nafikiri ndiyo dhana nzima ya chama cha wafanyakazi na wakulima kuona wafanyakazi wako upande wao hivyo ukianza kudai haki unaanza kusumbuliwa hata na balozi wa ssm
Back
Top Bottom