Kama baba angekuwa Wassira halafu mjomba ni Lipumba unekuwa na tabia gani!

Dec 2, 2016
11
45
Nimekaa nikafikiria kutokana na tabia za hao watu wanekuwa mashemeji kijana wao angekuwa na tabia ambayo ni average ya tabia zao nahisi Hugo kijana angekuwa anakera
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,681
2,000
Watafiti wanasema vinasaba vya higher brain vinarithiwa kutoka kwa mama.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom