IMPERIALISM AND PATRIOTISM
Nimekuwa najiuliza kwanini Tanzania na sio Cameroon na kwanini Magufuli regime na sio incumbent Paul Biya regime.
Cameroon chini ya Rais Paul Biya aliyedumu madarakani kwa takribani miaka 36 na Cameroon iliyo na matatizo lukuki ya ndani tumeshuhudia jeshi ikiwapiga...
Namshauri mheshimiwa Rais arudishe uchumi kwenye mfumo wa socialism ili aweze kuinua uchumi wa nchi maradufu,alete usawa kwa watu na kukomesha ufisadi na kuongeza uzalendo kwa watumishi na watu kwa ujumla.
Socialism ni mfumo sahihi haswa kwa nchi za Afrika ilikuwa pupa kwa nchi za Afrika...
Kama ulimsikia Putin alisema uchaguzi wa Ukraine unafanyika january na ktk wagombea poroshenko anashika namba 5 kwa polls na ushawishi sasa poroshenko kaamua kufanya uchokozi huo na baada ya reaction ya Russia akaweka martial law ili kutafuta kiki na kupandisha polls na ushawishi kuelekea...
Mike Pompeo siku ya leo amelaani vikali tukio la Iran kujaribisha kombora la masafa ya kati yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia.Pompeo alizidi kusema kombora hilo linaweza kupiga popote mashariki ya kati na sehemu ya ulaya.Pompeo akiongea na waandishi wa habari alisema:
"Tumekuwa...
Siku ya jana Ijumaa kwenye mkutano wa G20 Rais Putin alivyokutana na Crown Prince MBS walipeana tano huku kicheko kikitawala.Mwana wa mfalme huyu amekuwa akipokea lawama kutoka kwa viongozi wa EU kutokana na kashfa ya kumuua mwandishi Khashoggi lakini Putin aonyesha hajastuka na kuonyesha furaha...
Hawa ndio wana siasa niliotokea kuwakubali sana nchini Tanzania.Ni watu wa kipekee kabisa.
1.Wana reasoning capacity ya hali ya juu kabisa
2.Wana misimamo na wanasimamia kile wanachokiamini
3.Sio waoga na hawayumbishwi na wanajua kujenga hoja
Natamani sana Lissu na yeye aandike vitabu ili...
Tumeshuhudia mara Kadhaa nchi za Saudi Arabia na Israel wakifanya uvunjifu lakini wamekuwa wakitetewa na kukingiwa kifua na USA.
Kuna matukio mengi lakini ningependa leo kuelezea matukio ya kihalifu yaliyofanywa na ufalme dhalimu wa Saudi Arabia.Miaka ya nyuma Saudia Arabia ilituhumiwa...
Mwezi march 1981 Mwalimu Nyerere alitembelea Pyongyang na kukutana na Comrade Kim ii Sung Rais wa Korea kaskazini ambaye aliyekuwa Swahiba wa mwalimu Nyerere
Mwalimu Nyerere alimwambia Kim kuhusu uzalishaji wa Kilimo Tanzania na akaomba msaada kwenye sekta ya kilimo.Mwalimu alitaka msaada wa...
Siku ya Jumatano serikali ya Iran iliwanyonga Vahid Mazloumin na Mohammed ismael kwa kosa la uhujumu wa uchumi.
Mnamo tarehe 28 July Mazloumin alikutwa akihodhi tani 2 ya sarafu ya dhahabu na sarafu zingine nyingi wakificha ikisemwa lengo ni kutaka kuharibu uchumi wa nchi na kuyumbisha soko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.