Putin na Prince MBS wapeana tano huku vicheko vikitawala

mcomunisti halisi

Senior Member
Jan 17, 2017
103
325
Siku ya jana Ijumaa kwenye mkutano wa G20 Rais Putin alivyokutana na Crown Prince MBS walipeana tano huku kicheko kikitawala.Mwana wa mfalme huyu amekuwa akipokea lawama kutoka kwa viongozi wa EU kutokana na kashfa ya kumuua mwandishi Khashoggi lakini Putin aonyesha hajastuka na kuonyesha furaha alipokutana na mwana wa mfalme huyo.

#PUTIN NA BRICS LEO KESHO WANAMTAMANI MBS KUELEKEA PROJECT YAO YA KUVUNJA WB NA IMF.
6848540-6448127-image-a-63_1543613627697.jpg
66893505.jpg
6851726-6448127-Crown_Prince_Mohammed_bin_Salman_and_Vladimir_Putin_laughed_toge-a-65_15436136...jpg
 
Huyu jamaa alikuwa anataka kuinunua Man U ngoja achukue ushaur toka kwa Put in
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom