Petro Poroshenko, Rais wa Ukraine aanza kutetemeka

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,681
3,346
Katika hali ya kuonesha kuwa anaiogopa Russia raisi wa UKRAINE bwana POROSHENKO aonesha jinsi gani Russia ilivyojidhatiti kwa kupeleka vifaa vya kijeshi vingi kuliko kawaida pamoja na wanajeshi takribani 80000mpakani na UKRAINE na pengine hata wengine wapo ndani ya UKRAINE yenyewe.
====

More than 80,000 Russian soldiers are present at Ukraine's borders and the Russian-annexed Crimean Peninsula, as well as the rebel-held regions of Donetsk and Luhansk, according to the Ukrainian president.

Petro Poroshenko's remarks on Saturday came six days after a four-year-old conflict between Kiev and Moscow deepened when Russia seized three Ukrainian military vessels and arrested 24 crew members in the Black Sea near the Kerch Strait.

As he rallies for international support against Moscow, Poroshenko said Russia had about 1,400 artillery and rocket systems, 900 tanks, 2,300 armoured combat vehicles, more than 500 military planes and 300 helicopters in and around Ukraine.

Russia has more than 80 Russian military ships and eight submarines in the Black Sea, the Sea of Azov and the Aegean Sea, according to Poroshenko.

Igor Koziy, military expert at the Institute for Euro-Atlantic Cooperation, told Al Jazeera that the numbers Poroshenko gave seemed accurate if the navy and air force figures were added to the ground troops.

"If you look at the organisational structure of the Russian military, you will see that there are up to 6,000 people in each brigade. They have up to three brigades in Crimea alone.

"There is also navy and air force there. In the south of Russia that borders northern Ukraine, there have built up two whole military bases - three to five brigades each," he said.

"The possibility of the Russian invasion at the moment is between 70 to 80 percent, especially during the upcoming holiday season. For three to five days, nobody in the world would care about what is going on," said Koziy.

He also said Moscow was just waiting for an excuse to justify the move.
"[President Vladimir Putin] is still not ready for a very open traditional method because there is no psychological readiness for it inside the Russian army, but it is still on the table."

'Russia continues to test the world'Speaking at an unidentified location where Poroshenko transferred new and repaired fighter jets, helicopters and unmanned areal vehicles to the Ukrainian army, Poroshenko said that "Russia continues to test the world".

He said that Moscow was trying to see whether it would get away with turning the Azov and Black Seas into a "Russian lake".

"This is a tremendous threat, to which we, together with our allies, are looking for a proper political and diplomatic response. But our internal correct answer is to strengthen the Ukrainian army, first of all, the air force," Poroshenko said.

The Kremlin has accused the president of playing up the conflict with Moscow to secure electoral support in the upcoming presidential poll on March 31 next year.
Olexiy Makeyev, the Ukrainian foreign ministry's political director, told Al Jazeera that the world should be wary of the Russian militarisation of Crimea, in particular.

"The occupation and subsequent militarisation of Crimea led to the expansion of the area of use of Russian warships and military aircraft in the Black Sea and far beyond, even the Mediterranean basin," he said.

"Such militarisation has far-reaching consequences for security not only in the Black Sea area but in the whole southern Europe, as well as North Africa and the Middle East."

Russia condemnedForeign ministers from the world's seven biggest economies on Friday condemned Russia's actions in Kerch Strait as they reaffirmed their "unwavering support for Ukraine's sovereignty and territorial integrity" at the G20 summit.

The world leaders stood by Kiev verbally, but German Chancellor Angela Merkel on Thursday called on Poroshenko "to be sensible" and said there was no military solution to the dispute with Moscow.
Merkel also spoke with Putin on Saturday about the conflict.

"We have talked about the situation in Syria and we have talked about the situation in the Sea of Azov, of course, because here any tensions must be avoided," she told reporters.

She also said access to the Sea of Azov must not be blocked by Russia, which must comply with international law.
Poroshenko initiated martial law in 10 out of 27 regions of Ukraine following Sunday's confrontation and called on NATO to send military vessels to the Sea of Azov.

Ukraine believes that after seizing Crimea and the eastern regions, Moscow is aiming to monopolise the Azov Sea before coming for the whole of the country.

The conflict in the east of Ukraine has killed more than 10,000 people since 2014.

Source: Al Jazeera
 
Katika hali ya kuonesha kuwa anaiogopa Russia raisi wa UKRAINE bwana POROSHENKO aonesha jinsi gani Russia ilivyojidhatiti kwa kupeleka vifaa vya kijeshi vingi kuliko kawaida pamoja na wanajeshi takribani 80000mpakani na UKRAINE na pengine hata wengine wapo ndani ya UKRAINE yenyewe.View attachment 952920View attachment 952922
Tunataka tuichukue Kiev Kama Crimea ajitayarishe tu kisaikolojia...
 
Kwa hiyo ile martial law aliyoitangaza kumbe zilikuwa janja tuu?.Maana mimi nilidhani labda amejidhatiti kupambana na Russia.Baadaye nikaona anayaomba majeshi ya NATO yaende mpakani na Russia.Sina uhakika kama NATO wameenda.Haaaahaaaa
Yaani NATO aende mpakani mwa Ukraine kumzuia Urusi asilinde Uhuru na usalama wake, hawajitakiamini nakwambia hakuna nchi yoyote anayoweza kuivamia Urusi ulaya mashariki anapoona Kuna kitisho kwa usalama wake Marekani au NATO watajaribu kuingiza jeshi, never na wakiingiza ndo mwisho wa dunia umefika....
 
Aombe tuu yaishe maana hana namna.Kuna wadadisi wa mambo wanasema kuwa bwana POROSHENKO hakubaliki kwa sasa kule UKRAINE.Kwa hiyo ile ilikuwa ni janja yake ya kuzipeleka zile meli ili zikamatwe halafu yeye atangaze martial law ili uchaguzi usogezwe mbele.Haaahaaaaaa
 
Hatoweza, juzi nilikuwa naangalia bunge lao walivyokuwa wanapigana ktk mjadala wa kupitishia hiyo sheria yao martial law akitaka huruma ya wananchi, nchi nyingi ulaya mashariki baada ya kuanguka Usoviet wakaegemea magharibi yaani ubepari, viwanda mashirika makampuni yalikuwa yakimilikiwa na serikali wakapewa watu binafsi wakaanza kupunguza wafanyakazi ajira zikawa finyu, ujio wa Putin Urusi akaleta mageuzi ya kiuchumi hatimaye walewale walioikata Urusi wakaanza kuzamia Urusi Tena kwenda kufanya kazi, hapo ndo shida ilipoanzia na kumbuka wa Ukraine na warusi Ni ndugu Sana, usishangae dada ni Mrussi Kaka Ni raia wa Ukraine, yaani hakuna tofauti Kati ya mrusi na mkraine, Ukraine ndo mahali ambapo Moscow iliwekeza Sana kiviwanda...Ni ngumu vibaraka wa magharibi kuweza kuwekeza ukraine maana wanajua Ni warusi hao, labda wataendelea kuwapa silaha tu ambazo kwa Urusi Ni silaha dhaifu Sana...
 
Duuu.Ahsante kijana kwa kuniondoa tongotongo.Kumbe ndio maana POROSHENKO amewapiga marufuku wanaume wa Russia kuingia UKRAINE kwa sasa?.Amesahau kuwa tayari warusi wapo kibao nchini kwake.Hakika ninaziamini kauli ya Putin kuwa miongoni mwa mabaharia wa zile meli za kivita za UKRAINE kulikuwapo pia warusi.Haaaahaaaaa.
 
Sasa mbona Putin anawauza watu wake waliopo Ukraine,kusema kuwa ndani ya zile meli walizoziteka kuna warusi,sasa wakiachiwa na kirudishwa Ukraine si watapata tabu sana kurudishwa jeshini! Maana serikali haijui ni Nani ndio mrusi na nani ni mukraine
Nalog off
 
Shida iloyopo wa Ukraine wote Ni warusi kwa Asili...Sasa atamrudisha Nani umwache Nani
 
Kwa hiyo ile martial law aliyoitangaza kumbe zilikuwa janja tuu?.Maana mimi nilidhani labda amejidhatiti kupambana na Russia.Baadaye nikaona anayaomba majeshi ya NATO yaende mpakani na Russia.Sina uhakika kama NATO wameenda.Haaaahaaaa
Kama ulimsikia Putin alisema uchaguzi wa Ukraine unafanyika january na ktk wagombea poroshenko anashika namba 5 kwa polls na ushawishi sasa poroshenko kaamua kufanya uchokozi huo na baada ya reaction ya Russia akaweka martial law ili kutafuta kiki na kupandisha polls na ushawishi kuelekea uchaguzi ..
 
Eehhh! Kwani waliyosema don't poke the bear walikuwa wajinga eeeh! Amepanda upepo anafikiri atakachovuna ni nini? Atavuna kimbunga tu.

Isitoshe hizo data alizotoa inawezekana ni kutafuta huruma ya kimataifa. Kwa sababu data kamili wanayo wenyewe Warusi. Ila jeshi na zana vita zinazomsubiri Ukraine si za kitoto(kwa baadhi ya zile zilizooneshwa kwenye vyombo vya habari).

Sasa Ukraine kazi ni kwao kujaribu ni bure. Yaani vita kama ikianza leo, Jumanne Spetnaz wameshamaliza kazi. Vodka wanainywea Kiev.
 
Sasa mbona Putin anawauza watu wake waliopo Ukraine,kusema kuwa ndani ya zile meli walizoziteka kuna warusi,sasa wakiachiwa na kirudishwa Ukraine si watapata tabu sana kurudishwa jeshini! Maana serikali haijui ni Nani ndio mrusi na nani ni mukraine
Nalog off
Hawawezi kurudi tena kule.Haaaahaaaa.Wale watu wapo kule kwa kazi maalum.
 
Haaaahaaaaa
Mkuu hapo namaanisha hao mateka Wa kijeshi Ukraine wakielewana na Russia si itabidi warudishwe kwao! Na warudishwapo kwao,ukraine atapata tabu kumtambua yupi ni yupi si ataamua awaue wote? Au ndio wataona tabu kuwaua kaka zao? Kkkkkkkk
Nalog off
 
Eehhh! Kwani waliyosema don't poke the bear walikuwa wajinga eeeh! Amepanda upepo anafikiri atakachovuna ni nini? Atavuna kimbunga tu.

Isitoshe hizo data alizotoa inawezekana ni kutafuta huruma ya kimataifa. Kwa sababu data kamili wanayo wenyewe Warusi. Ila jeshi na zana vita zinazomsubiri Ukraine si za kitoto(kwa baadhi ya zile zilizooneshwa kwenye vyombo vya habari).

Sasa Ukraine kazi ni kwao kujaribu ni bure. Yaani vita kama ikianza leo, Jumanne Spetnaz wameshamaliza kazi. Vodka wanainywea Kiev.
Haaaahaaaa.We kijana ni noumaaaa
 
Back
Top Bottom