Recent content by MCN

  1. MCN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akataa Scotland Yard kusaidia uchunguzi mauaji yenye utata

    😁🥱😁🙄😁🥱😁🙄🤔🤔🤔🤔
  2. MCN

    JamiiForums Tanzania Serikali kurejesha kozi ya diploma Kwa wauguzi wa magonjwa ya AKILI

    Muhimu ni wahudumu na madaktari waliopo kwenye system kwanza waanze kuwezesha watoe huduma kabla ya wahitimu kuhitimu Ili kusaidia kukabili tatizo la Afya ya akili linaloendelea kuwa kubwa Sana ndani ya nchi
  3. MCN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Huyo ameshafika stage ya mbali (perforation stage) of course hiyo ni consequences ya vidonda visipodhibitiwa mapema kwa matibabu na life sytle especially diet
  4. MCN

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mlipuko wa Ebola Uganda, Wahudumu wa Afya Wagoma kuhofia Usalama wao

    Jamani wapoleke Waombe Kutekelezewa mahitaji yao ila wasiache ndugu zao wakaangamia wakati wao wapo wanauwezo wa kusaidia
  5. MCN

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Magonjwa yasiyoambukiza yanauelemea Mfuko wa Bima ya Afya

    Umesahau na ma file yao ya kupeleka madai yalivyomabaya Sasa. Yaani aliyepewa order ya kuyatengeneza hakuna kitu
  6. MCN

    JamiiForums Tanzania Same: Watu 11 wafariki kwa ajali ya gari

    Pale tatizo ni upepo Ukikanyaga Sana mafuta upepo unakubeba. Huwa Kuna upepo mkali maeneo hayo
  7. MCN

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu yamponza Mganga Mfawidhi hospitali ya Wilaya Siha, Waziri amshusha cheo

    Hilo nalo Alafu Mganga mfawidhi hawezi kuzunguka kila section muda wote wakati Kuna majukumu mengine yanaendelea kumkaba na ni majukumu ya wizara huku akitakiwa taarifa zake zifike immediately. That's not fair. Then amejaribu hata kuangalia walioko zamu kuwa nao walikuwa na Majukumu gani? Maana...
  8. MCN

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Unyanyasaji Kanisani: Papa Benedict aomba msamaha, akubali makosa yaliyotokea

    Mungu ni mkuu aliyekufunulia kukiri
  9. MCN

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mabilionea watajirika zaidi wakati wa COVID-19

    Wakati mwingine kufa kufaana
  10. MCN

    JamiiForums Tanzania Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

    NiLiJua ni muislam. Aache udini
  11. MCN

    JamiiForums Tanzania Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

    Boss aisee samahani Naomba usome Quran vizuri utaona kuwa ulikatazwa pia kuita wengine kafiri maana hakuna mkamilifu
Back
Top Bottom