Hakika tanzania imevaaa kaptula ,watu wema kwa sasa hawapo na waliopo hawana alama.Ajira zimekuwa zina udini,ukabila,na gender.nilipo ambiwa Nssf kuna udini niligoma ila kwa watu wote ambao wameitwa ninao wajua nimeshika hatamu.mungu wetu ni mwema na ridhiki popote kwa mapenzi yake mola atafanya...