Kuitwa Kazini NSSF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa Kazini NSSF

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mizizi, Apr 21, 2012.

 1. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani, Ndugu yangu anaulizia kama tayari wameitwa kazini wale aliofanya nao interview hivi karibuni! Kwani yupo hapa mjini tangu muda huo na hajui kinachoendelea!
   
 2. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Wameshaitwa.Walipgiwa cmu kuanzia ijumaa ilopita,jumamos had jumapili ikawa mwisho wa kuitwa.Jumatatu ya tarehe 16 mwez huu wote walioitwa wakaenda kuchukua barua zao za ajira ambazo znawataarifu kuwa tarehe 2/5/2012 wawe wamekwenda kwenye vituo vyao walivopangiwa kuanza kaz.Ila kuna taarifa kuwa michakato ya "kupenyezana" bdo ipo kwa zile fall vacancies. if una "MJI-MEMO "uloshba vizur kama tumbo la wasira then utupie upigiwe mchakato dogo apate kaz.Nawasilisha
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wewe uliapply kwa jina gani nikuchekshie?
   
 4. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!! Mgumu kumeza
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ukiona manyoya jua ameliwa
   
 6. m

  mchwa Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakika tanzania imevaaa kaptula ,watu wema kwa sasa hawapo na waliopo hawana alama.Ajira zimekuwa zina udini,ukabila,na gender.nilipo ambiwa Nssf kuna udini niligoma ila kwa watu wote ambao wameitwa ninao wajua nimeshika hatamu.mungu wetu ni mwema na ridhiki popote kwa mapenzi yake mola atafanya wepesi ili kuweza kutupa kazi zilizo bora na kukidhi mahitaji aluta continua,viva Tanzania
   
 7. m

  mwanasesele New Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani, naomba kujuzwa hizo barua watu walichukulia wapi?
   
 8. C

  Chief G Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi all? nimekuja kufanya mabadiliko kwenye hili. Nimebanwa sana na kazi za hapa na pale kutafuta kipato cha kuniwezesha kujikimu kwa kuwa ajira kwa vijna hapa Tz ni nipe nikupe. Wanao heri wale wenye wajomba, mashangazi, baba wakubwa na wadogo na hali kadhalika wazazi au kaka na dada, waliotangulia kwenye nafasi kubwa za ajira, hawa ndo wanachuma mema ya nchi. Siye watoto wa mkulima turudi vijijini tukasaidiane na wazazi wetu tulime. Haya ya NSSF yameumiza wengi. Huwezi kuwaita watu kwenye usaili, gharama na muda wa watu usijali angali majina ya watakaoajiriwa yapo. Inauma vijana wenzangu, tusikate tamaa, tuendelee kutoa elimu kwa jamii inayotuzunguka juu ya umuhimu wa kuchagua viongozi bora na siyo bora kiongozi, kwa hayo tutashinda.
   
 9. d

  dalu Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  udini na vimemo vilitawala mchakato mzima.
   
 10. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ushahi kk!
   
 11. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  MUNGU ni mwema tuendelee kumtumaini ila tuna safari ndefu sana hasa kwa niliyoyaona kwenye oral interview ya NSSF.Japo wamenitosa lakini MUNGU amefungua mlango mwingine.Ndugu msitake tamaa inawezekana kupata kazi bila hongo wala vimemo,ila unatakiwa kuwa na subira sana.
   
 12. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mi bado camini km udini wakat wapo waislam na wakristu wameachwa.so labda dini gan waspecify kwanza wanaosema hvyo.
   
 13. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni ukwel nssf imekisiri katika hl.
   
 14. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una dini gani? Kama Muslim ngoja tu utapata.
   
 15. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,125
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  mm mwenyewe niliitwa ile ya pili na nimemwagwa na cjui kwa nn wakati hakuna hata swali moja waliloniuliza lililonishinda,sasa cjui wametumia vgezo gani,hapa nimechoka kabisaaa,kwani mshahara wao sh ngapi kwa wanaoanza?
   
 16. J

  JuliusPm Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za leo! Natafuta kazi. Nimemaliza chuo mwaka jana pale IFM. Nina digree ya General Admin. Tax. Popote pale nipo tayar kufanya kazi. Cm yangu. 0714430966
   
 17. c

  conversant Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nimeipenda hiyo sikilizia bahati yako usiache kupita humu utapata matangazo ya kazi
   
 18. m

  mchwa Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usemalo ni sahihi coz nasema hivyo kutokana na experience ya kazi niliyonayo. rafiki zangu wote walioitwa ni wa dini moja na tunafanya kazi the samw department so najua nikisimacho kijana udini nssf upo na kila mtu anajua
   
 19. w

  wakuonewa Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  co udini jamani, labda mseme vimemo, tuangalieni wa2 wote walioajiliwa kisha ufanye comparison na tuccngizie udini NSSF tu kisa ni moja kati mashirika machache zinazoongozwa na muislam. mi nikikutajia list ya walioajiriwa CRDB je? MKISEMA UDINI MSISEMA KUHUSU NSSF TU BALI MUINGIZIE NA SEKTA NYINGINE HUSUSANI BANK KISHA MFANYE COMPARISON.
   
 20. w

  wakuonewa Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Usichukulie wa2 wachache ukafanya comparison kwa wa2 wote mkuu. Mbona kuna wa2 ambao co waislam wameitwa na wana matokeo mabovu tu? Hiyo ni bahati ya m2 kijana mi mbona huku cjaitwa wkt ukiangalia vyeti vyangu vinaonesha kamanimesoma shule za kiisalam?
   
Loading...