Serikali yatakiwa kutupia macho hizi recruitment agency......chanzao cha umaskini hawa.

mchwa

Member
Apr 21, 2012
8
4
Waungwana khabari zenu na pole na mchakato wa maisha? Hakika serikali yetu inatupeleka mahala pabaya sana hasa huu umoja wa EAST AFRICAN COMMUNITY.leo hiii wa kenya na waganda wanakuja Tanzania kufungua recruitment agency Tanzania,wanaajili waTanzania kwa ujila mdogo ka kutoa terms and condition ngumu ambazo hazimuwezeshi mtanzania kuwa na development caree na personal career .Tunatengeneza kizazi kibovu sana hakuna mtu anayefuatilia haki za msingi za watanzania wanao nyimwa.Nahitaji kujua je recruitment agency ndo wanarahisha urahisi wa upatikanaji ajira au ndo wanaongeza mianya ya rushwa.Erolink,nft,shughulika,na zinginezo hawana wanachofanya zaidi ya ubabaishaji tu na serikali yenye viongozi ambao sio wazalendo na wenye upeo wa kutokuona mbali wameridhika na haya yote .
 
Back
Top Bottom