Ndugu yangu muweka mada umechanganya kati ya vitu viwili tofauti 1.Asali in kitu kingine 2.Na sidri ni jina LA mti maarufu kwa hapa kwetu huo mti tunaita mkunazi .labda useme unataka Asali inayotokana na mti wa mkunazi(sidri) kwa maana asali ilio linwa kutoka katika mti huo.
Ama kuhusu Asali...
Kipi kiswahili sahihi kati ya kusema dawa ya meno au dawa ya mswaki?
Kama ni dawa ya mswaki kwani mswaki unaumwa nini ? Kama ni dawa ya meno kwa nini ukienda hospitali ukiwa unaumwa meno hupewi colgeti.
Karibuni wadau!
Kutokana na kuwa wanawake ni wengi mno kuliko wanaume na wanawake wengi hawajabahatika kuolewa japo hata mara moja tangu wazaliwe na wanahitaji kuolewa ila wakuwaoa hakuna na huenda wakaondoka katika dunia hii hawajawahi kuolewa natangaza rasmi nina nafasi moja ya kukamilisha wa nne alie tayari...
Hodi hodi hodi . Ubani upo wa aina mbili wenye harufu mzuri na wenye harufu mbaya . Kuna viumbe kama binadam hupenda huo wenye harufu mzuri ama mashetani hupenda huo wenye harufu mbaya .laikini pia ni chakula cha mashetani kwa hiyo hutumika katika kuwaita mashetani ili kuwatuma kazi malumu kama...
ah unajuwa watu wanatotautiana kuna watu wan endesha magali makubwa na wengine hawezi na wenginae wanapenda vx na wanweza kuzihudumia ila kama wewe uwezo wako mdogo huwezi kuhudumia vx nadhani utawaona ni mafisadi wale wenye ma vx sasa cc uwezo wetu upo juu acha tutumie ma VX
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.