Naunga mkono lengo la kumkomboa mwanamke hususan wa tz na harakati zake kwakuwa kinamama ndo msingi wa familia bora. lakini napenda kukosoa ktk upande wa namna ya kuwasilisha hususan ktk tv. tuelewe kuwa tv inatazamwa na maelfu ya watu wenye maadili ya ki tz na waliovurugwa ki western. kibaya...
mtazamo wa viongozi wasemao hatuna uwezo wanaangalia mtu binafsi kama chanzo cha mtaji. lakini uwekezaji mkubwa unaweza kufanikiwa kuuza hisa hisa. kwa mfumo wa hisa asilimia ya wa tz wenye millions and billions wangepata share ktk uwekezaji na atimae kupata faida kulingana na asilimia za mtaji...
Kama kweli vile! Eti akina baba nanihii mnafanyaje my wife zenu wakigoma? Halafu nasikia wenyemagari ndo mnaongoza kwa kufanya kama mmekosea njia, nawengine kama mnawahi foleni alfajiri au kusingizia foleni kumbe mama nanihii kakunyima unapitia viwanja kupoza
Mchumi ni mtaalamu aliejikita ktk elimu ya mbinu za kuelekeza rasilimali katika shughuli au sehemu ambayo itaboresha maisha ya wanadamu na kupata maendeleo endelevu.hao wataalam ndio wanaoandaa sera/policy, na tanzania inaongoza kwa kuwa na sera nzuri ila utekelezaji ambao ni kupeleka lasilimari...
Ni furaha kusikia hilo ila matumaini ya kuboreka maisha ya mtanzania ni ndoto. Jinsi usanii ulivyotawala tusitegemee kushuka kwa bei ya nishati nchini coz tutaambiwa gharama za uzalishaji ni kubwa na kuishia kupata kodi ya asilimia 3 kama ilivyo kwenye madini. We need to change the system to...
Kimsingi, maendeleo ya kiuchumi ndio hupelekea kuwepo na ubora katika huduma za kijamii. Kwasababu uchumi mzuri hupelekea kuwepo na uzalishaji katika viwanda, kilimo, biashara na sector nyingine. Kupitia production wafanyakazi hulipwa mishahara na hatimaye serikali hupata kodi mojakwamoja au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.