wataalam wa uchumi Tanzania wanafanya nini ?

mchumikachoka

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
15
Reaction score
2
Kimsingi, maendeleo ya kiuchumi ndio hupelekea kuwepo na ubora katika huduma za kijamii. Kwasababu uchumi mzuri hupelekea kuwepo na uzalishaji katika viwanda, kilimo, biashara na sector nyingine. Kupitia production wafanyakazi hulipwa mishahara na hatimaye serikali hupata kodi mojakwamoja au kupitia mfumo wa biashara na hutumia kodi kufinance huduma za kijamii.
Nashangaa kuona watanzania wengi tumechoka kwa kukosa kipato, huduma za kijamii ni mbovu na nchi kama hainamwelekeo kisera kutatua root cause, na kama kuna mpango au sera wamedevelop kuhusu kuboresha uchumi basi wanakuwa wameshajenga network ya kufuja/kufisadi mafungu ya hiyi project.
Wahusika na wasomi mulioajiriwa kama wachumi katika nchi hii mnatupeleka wapi.
Tunataka kusikia sauti za wataalam wa uchumi including profesors and other actors(ktk umoja wao), watumie taalumazao kuitathimini tume ya mipango and other departments related to start the engen of high economic development. Pia watoe ushauri wa wazi na wananchi tusikie ili tuelimike na kuweza kutathmini utendaji wao.
Kama wewe ni muhusika na taifa limekupa dhamani fanya kazi nzuri, usidhani kufisadi taifa ni ujanja, matokeo ya hilo ni kwamba watoto ulio au utaozaa wataishi maisha yasio na uhakika na watakuwa masikini sababu hukujenga sustainable economy(utakuwa babu au bibi mwenye wajukuu masikini ambao watashindwa kukupeleka nje ya nchi kwa matibabu)
WACHUMI na WANASIASA
JITAMBUENI.
 
Kama huwafahamu 'wataalam' wa uchumi hapa Tanzania, nitakutajia ili uwaulize vizuri..!!!

Kwanza kabisa anza na huyu hapa.!! Yeye ni 'mtaalam' wa uchumi 'mwandamizi' daraja la 'kwanza' !!!!

IMG_9904.JPG
 
Back
Top Bottom