Recent content by Mchukuu wa Mangi

  1. M

    Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Mkuu Lemutuz umeongea ukweli Ulaya na US life ni tough mno. Kwa uzoefu wangu niliokaa huko social life ni kama hakuna. So upweke ni wa hali ya juu. Ubaguzi upo ila sio wa direct, so ni ngumu sana wazungu kujimix na weusi. Shame jobs ndo wanazofanya weusi wengi Kama kutunza wazee na mataahira...
  2. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Watu wanataka mabadiliko, Slaa kajiharibia mwenyewe.
  3. M

    Walimu tunadanganywa waziwazi

    Nimesoma gazeti la Jambo Leo wameandika ahadi ya Magufuli kwa walimu eti tutakuwa na maisha mazuri mapadri akiwa Rais. Miaka zaidi ya 20 tumeendelea kudanganywa. Sasa tumechoka!
  4. M

    Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    Mleta mada hajaelewa. Sefue kasema serekali imenunua hisa 100% na wanatafuta mbia mwingine. Kitachukua muda kuanza Kazi
  5. M

    Ku Jail-break iPhone 6 Plus

    Wewe jamaa inaelekea bado hujaielewa vizuri iPhone. Mimi nimetumia aina tofauti za iPhone kwa mwaka wa 3 sasa na sijaona tatizo lake. Ili upate service nyingi za iPhone lazima uwe umejisajili kwanza. Ili upate Apple ID. Then utapata apps nyingi bure. Na ni rahisi sana kumkamata mwizi wa simu...
  6. M

    Magufuli: Mradi wa flyovers Dar umeishia wapi?

    Kwa wakazi wa Dar, tuliaminishwa sana kuwa mpaka utawala wa awamu ya nne unamaliza wake tutakuwa na flyovers ubungo na TAZARA, ni dhairi Magufuli ulitudanganya. Umekuwa ukijisifia sana kuhusu mtandandao wa barabara zilizojengwa lakini nyingi ni za viwango duni mf. Kwenye mradi wa BRT upana wa...
  7. M

    Kwa Magwiji Waliobobea ktk Sheria za Kanisa Katoliki tu

    Hawana kosa kama hela walipewa kama msaada kwa kanisa inategemea na mazingira waliyopewa hizo hela. Mbona Lowasa au Mengi walishachangia makanisani na misikitini fedha zaidi ya hizo. Rugemila naye ni mfanyabiashara mkubwa
  8. M

    Madaktari wa Kitanzania wajitolea kwenda Siera Leon na Liberia kutibu Ebola

    Hatariiiiiii! Maamuzi mengine ni ya hatari sana. Wizara itajutia uhamuzi huo maana hao madaktari wanaenda kuuchukua huo ugonjwa kuuleta Tanzania
  9. M

    Ebola! Ebola! Mungu Tuokoe!Serekali ya Tanzania Imejiandaaje?

    Wakati kirusi cha maangamizi ya kutisha Ebola kikiendelea kusambaa kwa kasi katika nchi za afrika magaribi na kupiga hodi USA na Spain. Ebola inapukutisha sana familia huko Liberia, Seira leon na Guinea. Inasikitisha kwa serekali ya Tanzania kuendelea kusua sua katika kujiandaa kupambana na...
  10. M

    Nafasi za kazi kwa waliosoma agriculture

    Dear Colleagues in development, A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program Officer / Senior Regional Advisor -East Africa, who is Kenyan and based in Seattle, has told me that they...
  11. M

    Fursa kwa wataalamu wa kilimo

    Dear Colleagues in development, A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program Officer / Senior Regional Advisor -East Africa, who is Kenyan and based in Seattle, has told me that they...
  12. M

    samsung galaxy s4 kwa 350000 note3 kwa 500000 0689315582

    Dah! Galaxy S4 kwa Shs 350,000??!!wadau kuweni makini na simu fake
  13. M

    ITV, EATV Mnasubiri Nini??

    ITV wanatia aibu kwa kweli. Hata online hawapatikani! Wamebaki kutuwekea video clip moja au mbili za habari kwa Siku au Siku nyingine wasiweke. Waige mfano wa TV za Kenya mf KTN. Sisi tunaoishi huku ng'ambo tunakosa habari za ITV na Radio one.
Back
Top Bottom